Mama Salma atoa vifaa vya uvuvi Lindi

Akiwa kama Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama akiiwakilisha LINDI MJINI ulitegemea yale anayoyafanya kama MNEC wa LINDI aje ayafanye arusha..?

Kapata u-NEC mwaka 2012, misaada Lindi ni tangu aingie Magogoni! Shida yangu ni 'balance' ya kutoa misaada akiwa kama 'mke wa rais'. Anatafuta michango kama mke wa rais lakini yote inaishia kwenye eneo moja, na yote inaonekana kwa personal goal - kupata nafasi ya kisiasa! Something is not right hapa.
 
Back
Top Bottom