Mama Salma ataka wanafunzi wakimbia mafataki!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
mke wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanganyika mama salma kikwete
amewaonya wanafunzi kuwa macho na MAFATAKI...akiongea na wanafunzi wa shule
ya JANGWANI SEC mama kikwete amesema anawaomba watoto wa kike waridhike na maisha
na uwezo wa wazazi wao waliokuwa nao wasikimbilie kutafuta maisha ya shortcut

watoto wangu nyie nawaeleza ukweli MAFATAKI wamejaa kama mvua tena hasa DAR es salaam
nawaambien jihadharini nao sana watawaua..awana maana kabisa .mi ni mwalimu najua umuhimu wa watoto wa kike akuna aja ya kukimbilia maisha ya haraka ;Mungu Akioanga kutoka utatoka tu
alisema mama salma uku akishangiliwa ...mama kikwete alisemanaambiwa tena wengine mnatumika
kuwauza wanafunzi wengine jamani kama ni kweli inasikitisha saana kwa nini ukubali kumuangimiza mwenzio......

Mama Kikwete aliuliza mnawajua amuwajui atuwajuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
akuliza mnawapenda amuwapendi.....chini tunawapenda saaaaaaaaaaaaanaaaaaaa

mama salma akajibu najua mnakataa wengine mnawafurahia ....angalien watawaua wanangu
sina mengi kama mzazi nawatakia maisha mema mungu awabariki
 
Wanume wakimbie nini
njoo basi azania utupe na mawaidha jamani
wanafunzi wa azania
 
Back
Top Bottom