Mama Princess

Aise usirudi, baki huko huko Zimbabwe, huku hali ni mbaya, tindikali inakusubiri airport
 

Cc: lara 1 (refer our discussion...heheh)

Hili jukwaa linakufaa sana kuliko kule darajani,

Ahahah mkuu Belo binadamu ni lazima kuwa all-round! Hatahivyo, my blood is blue...Chelsea inanipa furaha...see u saa kumi usiku!!!!!


huyo mama princess hamna kitu kichwani,,,,,,,,,,,kisa cha kufunguka na kuonesha picha ndiyo nini?

Eti anamringishie baba Prince u-hendisamu wangu!

hahahahaha kuna mkono wa mtu,mbona imetokea thatha


Na kweli...sikutegemea!

R.I.P ndugu yangu Mentor .. Kama ukipata bahati ya kumwagiwa tindikali basi ntakuja kukujulia hali utakapokuwepo. Ila kama itakuwa kinyume na hapo ntakuwepo msibani ila hakikisha Mama J unamkabidhi kwangu..

Ahaha kaka Nicas Mtei..mbona kukimbilia shemeji yako! najua wachaga hatuna hiyo mila ya kurithiana mbona!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mentor kama unaweza naomba link ya discussion khs hii kitu (Cc: lara 1 (refer our discussion...heheh =Mkuu kuna mazingira unastukia umeishafanya hivyo japo hupendi, we shukuru Mungu kama hujawahi shuhudia mazingira ya hivyo) nadhani ilinipita, nataka kusoma views za wadau
 
Last edited by a moderator:

hahahah...link coming up soon!!!lol
 
daaaaah bonge la stori yaani natamani liendeleee hivi, mwana wewe ni creative balaaaaaaaaa (hope hiyo ni story tuuu no reality)
 
Ameen....

Hope utakuwa umefika JNIA, karibu kigamboni

Ah ram, kigamboni leo mamii!?? hunipendi wewe....naelekea Tabata!!!
 
Last edited by a moderator:
Ahahahahhhh....

Tabata kwa nani tena wakati yule mchumba nimemshau jina lake ulimtibua
Mentor na wewe una majanga, utadhani sio mtoto wa Eben-ezer!!!


Ah ram, kigamboni leo mamii!?? hunipendi wewe....naelekea Tabata!!!
 
Last edited by a moderator:

Kaka Kaizer nilikuwa simuni sijaona hii kitu hili ombi la kupiga limeexpire?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…