safi sana kijana wangu Mentor...hivi mbona hukuniPM kwamba umetupia kitu? what a nice story.
Baada ya kuseam hayo, nami kama Kongosho nilipumua baada ya kuona disclaimer, maana nikikumbuka Verossa mmh
Paloma na Mr Rocky, Mentor amesema anakunywa maji ya kisima chake mwenyewe
isitoshe jamaa hajamwoa huyo mama Princesss na yeye anaibia tu..sema yeye ana upper hand lakini kisheria bana hawezi kumshinda Mentor, so akimfukuza atakuwa amepoteza haki zake zote
Nyie mnaomtisha eti sijui tindikali mara KY, kwani ZIMBABWE havipo ivo vitu
Elizabeth Dominic please call me ASAP!

Endelea kufaidi mkuu. Ila this time uwe makini. Mapenzi ni upofu
JF ina member zaidi ya 10,000 ukikataliwa endelea kuwaomba wengine.
hivi mlipokuwa mnagegedana princess alikuwa anawekwa wapi?
Nikwambie ukweli kwamba wewe nimekuvulia kofia. Ni mtunzi mzuri na una kipaji. Keep it up.Juzi Baba Prince alikuja kununua tindikali hapa dukani kwangu
Of course hizo sifa ni za Mentor
alafu mbona sikuonagi tena pale mahali tulipokutana lasti taimu!??
Juzi Baba Prince alikuja kununua tindikali hapa dukani kwangu
ahahah...umeifanya kama joke na mm nipo siriaz ujue!
Btw una shida inayohitaji kuhurumiwa!?? Cc: Kaizer