Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Niliwahi kuwa na mdada wa kunisaidia kazi wa kisukuma..hapo ndipo nilipojua kuna watu wanakula .Ila alikuwa yuko vzr sana ktk utendaji kazi. Hataki siku ipite bila kula ugali,tena ugali mgumu mpk tonge likianza kushuka kooni mpk tumboni unalisikia.
Hahaaha...wanapenda ugal mgumu kweli yaan..khaa..mm hapana kwakqel