Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,635
- 28,585
Acha utani dogo, yaani visahani viwili vya dar mtu anatoka Mwanza ashibe? Hapo apige sita ndo sawa na moja kule Mkoa.Kula sahani mbili mkuu
Acha utani dogo, yaani visahani viwili vya dar mtu anatoka Mwanza ashibe? Hapo apige sita ndo sawa na moja kule Mkoa.Kula sahani mbili mkuu
Kisukari kinakuitanna kitambi mkuu..nakula km mchwa..na koka daily
Tulia wewee acha porojo jamvini fanya kaziWasukuma nyie mnajua kula tu hapa Dunian.pathetic
Kisukari kinakuita
Hyo sio solution km unakunywa soda kila sikuNautumikisha sana mwili mkuu
Hahaha hii sio chai Dada mkuuNimefanikiwa kufika maeneo ya Geita asbh mtu anakula ugali nyama na maharage na mtindi (must)..ugali wa buku ww huumaliz....akimaliza anaagiza maandazi ma4 na chai vikombe viwili akimaliza anakula chips kavu anakuambia chips inasafisha kinywa kinakuwa na harufu nzuri😂😂😁..hii si kwa wanaume tu had wanawake...hahahhaa...
Hahaha hii sio chai Dada mkuu
kula sio kitu kibaya kama mtu ana appetite,lakini ulaji huu wa wasukuma,hawana tofauti na ulaji wa nguruwe.Wasukuma asili yetu Kula ban.. tunakula kinachopatikana
Hyo sio solution km unakunywa soda kila siku
Jamaa si pouwa, nafanana nae tabia mmoja tu, mie nikimalizaga kula ugali/ wali lazima nipitie matunda ya chipsi na mishkaki enda jazia. Sijawahi kabisa kuita chipsi kama chakula siku zote chakula icho nakichukulia kama matunda ya kujazilizia tumbo langu baada ya kula ugali wangu ama wali wanguiko siku ntarekodi..kuna ndg yangu m1 nimeenda naye huwa anacheka had analia..hizo menu zote ni anapiga 20min only anaingia mzigoni ...
Jamaa si pouwa, nafanana nae tabia mmoja tu, mie nikimalizaga kula ugali/ wali lazima nipitie matunda ya chipsi na mishkaki enda jazia. Sijawahi kabisa kuita chipsi kama chakula siku zote chakula icho nakichukulia kama matunda ya kujazilizia tumbo language baada ya kula ugali wangu ama wali wangu
Hahaha nawa fahamu vizuri ndugu zangu hawa nishachunga nao mbuzi na ng'ombe sana shinyanga na kule katunguru sengeremaIla wenyewe wanafanya kazi ngumu sana..nzito sana
hahahahaha..HatariousNimefanikiwa kufika maeneo ya Geita asbh mtu anakula ugali nyama na maharage na mtindi (must)..ugali wa buku ww huumaliz....akimaliza anaagiza maandazi ma4 na chai vikombe viwili akimaliza anakula chips kavu anakuambia chips inasafisha kinywa kinakuwa na harufu nzuri😂😂😁..hii si kwa wanaume tu had wanawake...hahahhaa...
balaa...ila wanafanya kazi nzitohahahahaha..Hatarious
Niliwahi kuwa na mdada wa kunisaidia kazi wa kisukuma..hapo ndipo nilipojua kuna watu wanakula .Ila alikuwa yuko vzr sana ktk utendaji kazi. Hataki siku ipite bila kula ugali,tena ugali mgumu mpk tonge likianza kushuka kooni mpk tumboni unalisikia.balaa...ila wanafanya kazi nzito
Watu wanapakiza nyuma ya baiskeli madumu nane ya maji ya lita ishirini ishirini wanayaendea umbali wa 10_20 haha ndo sembuse kulaNiliwahi kuwa na mdada wa kunisaidia kazi wa kisukuma..hapo ndipo nilipojua kuna watu wanakula .Ila alikuwa yuko vzr sana ktk utendaji kazi. Hataki siku ipite bila kula ugali,tena ugali mgumu mpk tonge likianza kushuka kooni mpk tumboni unalisikia.