Meko saa sita usiku anaamshwa na harufu ya mahindi ya kuchemsha na sio mkewe unategemea nini?hivi magufuli nae ni mlaji mkuu?
Jamani nyie mama ntilie wa Dar ebu kuweni na huruma kidogo, kiukweli mnaweka msosi kidogo sana mpaka kwa wateja wenu, binafsi toka nije dar sijawahi kushiba.
ebu waigeni mama ntilie wenzenu wa mwanza aisee, kule wanaweka msosi mtu unakula mpaka unahisi umelitendea tumbo lako haki.
Kwani mkuu unapendelea kula chakula gani?Ugali wa buku wa mama ntilie wa
Geita mnakula watu wa4 had wanaboa..mawali wanajazA ndii..mm sipend..!arghhh
mkuu..nyie wasukuma sijui kwa nin mnapenda kula kiasi hiki?Unatuonea hakika
ongeza pesa meku dsm maisha yapo juu tofauti na mkoani, kama umetokea mwanza au mbeya ambako vyakura ni rahisi ukija dar lazma upagaweJamani nyie mama ntilie wa Dar ebu kuweni na huruma kidogo, kiukweli mnaweka msosi kidogo sana mpaka kwa wateja wenu, binafsi toka nije dar sijawahi kushiba.
ebu waigeni mama ntilie wenzenu wa mwanza aisee, kule wanaweka msosi mtu unakula mpaka unahisi umelitendea tumbo lako haki.
Kwani mkuu unapendelea kula chakula gani?
Maana wengine utasikia 'mimi bila kaugali sishibi'!
Lakini manengelo 'pr' (inengelo 's') kwa lugha za huko ni jungu kuu lisilokosa ukouko! Laweza tumika kupikia ngombe mzima wa sherehe!
Ww hujui watu wa darslmu hawali sana chakula
Wakiwekewa chakula chingi hawawezi kumaliza chote
Ndiyo mana sisi wa mkoani tunanguvu sana Za kiuwanaumeNimefanikiwa kufika maeneo ya Geita asbh mtu anakula ugali nyama na maharage na mtindi (must)..ugali wa buku ww huumaliz....akimaliza anaagiza maandazi ma4 na chai vikombe viwili akimaliza anakula chips kavu anakuambia chips inasafisha kinywa kinakuwa na harufu nzuri😂😂😁..hii si kwa wanaume tu had wanawake...hahahhaa...
Aisee huyo mtu ana asili ya mchwaNimefanikiwa kufika maeneo ya Geita asbh mtu anakula ugali nyama na maharage na mtindi (must)..ugali wa buku ww huumaliz....akimaliza anaagiza maandazi ma4 na chai vikombe viwili akimaliza anakula chips kavu anakuambia chips inasafisha kinywa kinakuwa na harufu nzuri😂😂😁..hii si kwa wanaume tu had wanawake...hahahhaa...
Nimefanikiwa kufika maeneo ya Geita asbh mtu anakula ugali nyama na maharage na mtindi (must)..ugali wa buku ww huumaliz....akimaliza anaagiza maandazi ma4 na chai vikombe viwili akimaliza anakula chips kavu anakuambia chips inasafisha kinywa kinakuwa na harufu nzuri[emoji23][emoji23][emoji16]..hii si kwa wanaume tu had wanawake...hahahhaa...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimefanikiwa kufika maeneo ya Geita asbh mtu anakula ugali nyama na maharage na mtindi (must)..ugali wa buku ww huumaliz....akimaliza anaagiza maandazi ma4 na chai vikombe viwili akimaliza anakula chips kavu anakuambia chips inasafisha kinywa kinakuwa na harufu nzuri[emoji23][emoji23][emoji16]..hii si kwa wanaume tu had wanawake...hahahhaa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ugali wa buku wa mama ntilie wa
Geita mnakula watu wa4 had wanaboa..mawali wanajazA ndii..mm sipend..!arghhh