Mama Ntilie wa Dar punguzeni mchinjo

Mama Ntilie wa Dar punguzeni mchinjo

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,501
Reaction score
4,282
Jamani nyie mama ntilie wa Dar hebu kuweni na huruma kidogo, kiukweli mnaweka msosi kidogo sana mpaka kwa wateja wenu, binafsi toka nije Dar sijawahi kushiba.

Hebu waigeni mama ntilie wenzenu wa Mwanza aisee, kule wanaweka msosi mtu unakula mpaka unahisi umelitendea tumbo lako haki.
 
umenifurahisha hapo uliposema 'tangu uje dar hujawahi kushiba'

kunywa maji mkuu
 
Jamani nyie mama ntilie wa Dar ebu kuweni na huruma kidogo, kiukweli mnaweka msosi kidogo sana mpaka kwa wateja wenu, binafsi toka nije dar sijawahi kushiba.
ebu waigeni mama ntilie wenzenu wa mwanza aisee, kule wanaweka msosi mtu unakula mpaka unahisi umelitendea tumbo lako haki.
waweke hamira katika ugali ili tushibe mapema
 
Mkuu lipia sahani 4 tu utendee haki tumbo lako!!!Dar mpk baadh ya miji ukishiba vizuri kabisa unapiga sala ya shukrani kabla ya kulala km waga husali...
 
Back
Top Bottom