Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,504 Reaction score 6,199 Feb 16, 2012 #21 Ngaliba Dume said: Nimepita jana nikitokea Mwanza na 540...its true mkuu,tena wameweka Mafiga,kuni za mbao...afu wanatupia uchafu ktk ile mitalo n.k!very unpleasent image!nilichukua picha....ntaweka badae kidogo Click to expand... hivi ni lazima useme ulipanda ndege??? sema tu nikiwa safarini kutoka mwanza...mweee jamani
Ngaliba Dume said: Nimepita jana nikitokea Mwanza na 540...its true mkuu,tena wameweka Mafiga,kuni za mbao...afu wanatupia uchafu ktk ile mitalo n.k!very unpleasent image!nilichukua picha....ntaweka badae kidogo Click to expand... hivi ni lazima useme ulipanda ndege??? sema tu nikiwa safarini kutoka mwanza...mweee jamani
J julisa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 209 Reaction score 50 Oct 15, 2012 Thread starter #22 Leo askari wa jiji wamekamata na kuharibu mafiga ya mama ntilie wanaopika pika chai pembezoni mwa nyerere road.
Leo askari wa jiji wamekamata na kuharibu mafiga ya mama ntilie wanaopika pika chai pembezoni mwa nyerere road.