AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,756
Hiyo dhambi yake haikuhusu...Andiko lako ni la hisia sana mkuu.Mfano ikitokea mama akatembea kimapenzi na rafiki yako,je heshima ya mama unayoisema utaendelea kuitoa?
Kwani dhambi zako Zinamhusu mwanao...Andiko lako ni la hisia sana mkuu.Mfano ikitokea mama akatembea kimapenzi na rafiki yako,je heshima ya mama unayoisema utaendelea kuitoa?
Ahaaa wapi kuweka watu kutompenda baba bila baba huyo mama angepatikana
Nakataa miaka buku
Kila mtu abebe jukumu lake ubora ni saaawa
Huyu VpKwani dhambi zako Zinamhusu mwanao...
Very very wrong kila mmoja ana majukumu yakeMTUME MUHAMMAD اصلا الله عليه وسلم ALIPATA KUULIZWA NA SWAHABA WAKE JUU YA "Ni yupi wa kutendewa wema zaidi katika wazazi wangu wawili na ndugu zangu?, akajibu 'Mama Yako', akaulizwa nani mwingine?, akajibu tena 'Mama yako', Muulizaji akauliza tena nani mwingine?, Mtume akajibu tena ' MAMA YAKO', Yule bwana akauliza tena NANI MWINGINE, Kisha Mtume Akajibu 'Baba Yako'...?"
TUMEZIONA DARAJA TATU ZA MAMA ZAIDI YA BABA...YAANI GOLD, SILVER NA BRONZE...
DARAJA TATU ZA MAMA.
1. MAMA ALIBEBA MIMBA PEKEE YAKE BILA MSAADA WA BABA.
2. MAMA ALIPATA HARAKATI ZA KUZAA PEKEE YAKE BILA KUSAIDIWA NA BABA.
3. MAMA ALINYONYESHA MTOTO PEKEE YAKE BILA KUSAIDIWA NA BABA.
DARAJA YA BABA.
*BABA ALICHANGIA TU KATIKA MALEZI NA MAMA.
Kwetu sisi wanaume: Kumtendea wema MKEO NI WAJIBU WAKO, NI DHAMBI UTAULIZWA USIPOFANYA HIVYO.
ILA USIPOMTENDEA WEMA MAMA YAKO, HUTOUONA WALA KUPATA HARUFU YA UFALME WA MBINGUNI...YAANI PEPO ZETU ZIPO CHINI YA MIGUU YA MAMA ZETU...UKIMRIDHISHA MAMA KATIKA WEMA NA UKAMTENDEA WEMA BASI WEWE UMEFAULU KUIPATA PEPO...!
TUWARUHUSU WAKE ZETU WAPATE FURSA YA KUPATA RADHI ZA MAMA ZAO...JAPO WANAWAJIBIKA ZAIDI KWETU KIMAMLAKA...ILA HAKI ZA MAMA ZAO HATUWEZI ZISHUSHA...!
TUWATENDEE WEMA WAZAZI WETU WAWILI...ILA TUSIMLINGANISHE MAMA NA VIUMBE VIUNGE...THAMANI YA MAMA NI KUBWA MNO...NI NGUMU SANA KUILINGANISHA NA KIUMBE CHOCHOTE...!
hapana,najaribu kulitazama kiuhalisiaKwani dhambi zako Zinamhusu mwanao...
Lakini ule uchungu utakaoupata utakufanya umchukieHiyo dhambi yake haikuhusu...
kuna watu dini zao haziwafundishi umuhimu wa wazazi...alafu nao wanasema wana dini...
UISLAAM UMETAMBUA BILA SHAKA UMUHIMU WA MAMA KATIKA KUMTENDEA WEMA...MaMA NI BORA ZAIDI...Very very wrong kila mmoja ana majukumu yake
Uchungu wake hauzidi atakaokuwa nao baba yako...Lakini ule uchungu utakaoupata utakufanya umchukie
ha ha ha ni sawa na kuulizwa swali kati ya baba yako au mama yako ni nani ni ndugu yako?Uchungu wake hauzidi atakaokuwa nao baba yako...
MTUME MUHAMMAD اصلا الله عليه وسلم ALIPATA KUULIZWA NA SWAHABA WAKE JUU YA "Ni yupi wa kutendewa wema zaidi katika wazazi wangu wawili na ndugu zangu?, akajibu 'Mama Yako', akaulizwa nani mwingine?, akajibu tena 'Mama yako', Muulizaji akauliza tena nani mwingine?, Mtume akajibu tena ' MAMA YAKO', Yule bwana akauliza tena NANI MWINGINE, Kisha Mtume Akajibu 'Baba Yako'...?"
TUMEZIONA DARAJA TATU ZA MAMA ZAIDI YA BABA...YAANI GOLD, SILVER NA BRONZE...
DARAJA TATU ZA MAMA.
1. MAMA ALIBEBA MIMBA PEKEE YAKE BILA MSAADA WA BABA.
2. MAMA ALIPATA HARAKATI ZA KUZAA PEKEE YAKE BILA KUSAIDIWA NA BABA.
3. MAMA ALINYONYESHA MTOTO PEKEE YAKE BILA KUSAIDIWA NA BABA.
DARAJA YA BABA.
*BABA ALICHANGIA TU KATIKA MALEZI NA MAMA.
Kwetu sisi wanaume: Kumtendea wema MKEO NI WAJIBU WAKO, NI DHAMBI UTAULIZWA USIPOFANYA HIVYO.
ILA USIPOMTENDEA WEMA MAMA YAKO, HUTOUONA WALA KUPATA HARUFU YA UFALME WA MBINGUNI...YAANI PEPO ZETU ZIPO CHINI YA MIGUU YA MAMA ZETU...UKIMRIDHISHA MAMA KATIKA WEMA NA UKAMTENDEA WEMA BASI WEWE UMEFAULU KUIPATA PEPO...!
TUWARUHUSU WAKE ZETU WAPATE FURSA YA KUPATA RADHI ZA MAMA ZAO...JAPO WANAWAJIBIKA ZAIDI KWETU KIMAMLAKA...ILA HAKI ZA MAMA ZAO HATUWEZI ZISHUSHA...!
TUWATENDEE WEMA WAZAZI WETU WAWILI...ILA TUSIMLINGANISHE MAMA NA VIUMBE VIUNGE...THAMANI YA MAMA NI KUBWA MNO...NI NGUMU SANA KUILINGANISHA NA KIUMBE CHOCHOTE...!
Kila mmoja ana nafasi yakeVery very wrong kila mmoja ana majukumu yake
hakuna zaidiKila mmoja ana nafasi yake
Ila Mama ni Zaidi
Chief Mshana Jr
Hujasikia ule msemo
NANI KAMA MAMA?!!!