Mama ni mara 3 bora zaidi kuliko baba

Poor thinking kabisa,

Tafuta kwanza chanzo cha hizo nishani tatu uzisemazo ndio utaelewa,

Yaani kwanini mwanamke
1. Anabeba mimba miezi tisa
2. Anazaa kwa uchungu
3. Kunyonyesha.

Hizo ni laana Bob ambapo ni majukumu ya mwanamke kiasili.
 
Si kweli, labda kama majibu/hoja hizo zitatolewa na akina mama wenyewe ili kujitibu syndrome ya udhaifu wanaohisi kuwanao ingawa si kweli wadhaifu.

Mama bila support ya baba, mimba kwake ni msalaba.

Angalia ni akina baba wangapi wanahangaika kuhakikisha familia zao zinaishi maisha ya kukidhi mahitaji kulingana na hali halisi ya familia husika. Hapa haihusiani na akina baba ambao hawatimizi wajibu wao(kwani hata mama wa hivyo wapo pia).

Namna gani baba wanahangaika kuhakikisha familia ziko salama.
Vinginevyo, malezi ya utotoni kwenye familia nyingi yamejaa makosa yanayopelekea kuwabagua wazazi.

iAdios!
Mkuu yani umemaliza kila kitu. Mtu anabagua wazazi kwa majukumu ya kiasili anasahau wapo hata hao wamama wanazaa watoto wao na kuwaua...
 
Back
Top Bottom