Mama ni mama ila sio mama mkwe

Katika vitu I am proud of ni uamuzi wa kumchukulia Mamangu Mkwe kuwa ni Mama yangu.

Na sijawahi kujutia. Why? Because Mama Yangu Mzazi hajakamilika, Ana madhaifu yake mengi tu kama mimi na Mama Yangu.

Why nitarajie Mama wa mwenzangu awe kamilika wakati mie na Mama Yangu hatujakamilika.

So namchukulia kama an ordinary human being. Nampa heshima yake kama Mzazi wangu.
Yawapasa mabinti wote wakuige
 
Kwangu afanye nini mama mkwe? Aje kusalimia na kuondoka, kama anataka kukaa na mwanae amchukue akakae nae kwake . Nataka nikae na mke wangu bila usumbufu. Ila mama yangu mzazi sina la kusema ni kumbembeleza kama mtoto.
Chukua bia pesa utalipa mwisho wa mwezi
 
Kuna rafiki yangu ambaye ni jinsia ya kike, na katika kupiga story za wakwe akasema mama mkwe akija kuwasalimia huwa hakai zaidi ya siku mbili kwa sababu huwa anapiga kelele wakati wa tendo la ndoa mpaka mama mkwe anasikia na baada ya siku mbili anaaga. Hii inaitwa wanawake na vijimambo.
Duh!!!,huyo sasa ni noma aise
 
Katika vitu I am proud of ni uamuzi wa kumchukulia Mamangu Mkwe kuwa ni Mama yangu.

Na sijawahi kujutia. Why? Because Mama Yangu Mzazi hajakamilika, Ana madhaifu yake mengi tu kama mimi na Mama Yangu.

Why nitarajie Mama wa mwenzangu awe kamilika wakati mie na Mama Yangu hatujakamilika.

So namchukulia kama an ordinary human being. Nampa heshima yake kama Mzazi wangu.
Ngoja nimshauri waifu aanze kula kitu cha Arusha kumbe kina faida hivi
 
Mama wakwe na visa vyao,, nilivyo najua kupuuza 😅😅😅 sinaga habari kabisa nalala na kuamka nae Nina muda mwingi wa kuwa nae kuliko mtu yeyote yule, hii hunipa bonge ya faraja najionaga mshindi kinoma noma
 
Back
Top Bottom