Huyu mama yuko poa sana kuanzia haiba na mambo anayofanya, anaonekana hana majivuno sana na sio mpenda kunyenyekewa. Huwa nafurahi nikimuona, anaitendea haki nafasi yake.
Yaani unataka kusema yeye siyo kama mama Salma?Uko sawa kabisa hata mimi nampenda sana kwa kweli, ni mama ambaye hata ukimuona akicheka una muona ni mtu aliyejaa furaha na Amani, mimi nilianza kumfwatilia tangu siku za Kampeni na niliona kwamba ni kama mtu ambaye analazimishwa kuwa kwenye public lkn siyo mtu wa public na kimbele mbele kutukana na kupasha watu kama wamama wengine wake wa Viongozi tuliowaona, yeye ni down to earth kama wasemavyo Wazungu!
Hata mama Salma hakua na tatizo, ni aina ya wamama wanaojiheshimu sana, sio watu wa majivuno. Hawa ndo wanafanya wanaume tutamani kuoa mwalimu.Yaani unataka kusema yeye siyo kama mama Salma?
Ipo nadharia kwamba watu wanaotumia mkono wa kushoto ni watu talented sana.
Wanaomfahamu mama Janeth Magufuli naomba wathibitishe nadharia hii ya 'mashoto'
Uhuru Kenyatta
Salma!!!? Mmh, hapana. Hafanani kabs na huyu Mama. Janet yuko vizuri zaidi.Hata mama Salma hakua na tatizo, ni aina ya wamama wanaojiheshimu sana, sio watu wa majivuno. Hawa ndo wanafanya wanaume tutamani kuoa mwalimu.
She is talented that's why we have a telented President.Bill Clinton
Barack Obama
Benyamin Netanyahu
Prince William
David Cameron
She is talented that's why we have a telented President.
Sasa yule Jesca wa UDOM aliye "faulu" pale St Mathew anefuata kwa Janet au Joni?Salma!!!? Mmh, hapana. Hafanani kabs na huyu Mama. Janet yuko vizuri zaidi.