MAMA na MWANA ya RTD .- tukumbushane

Ulikuwa wakati mzuri sana jamani hadithi ya ua jekundu tuliikariri na kuirudia kwa umahiri na yule mtangazaji wa Arusha Bahati sth RIP

na nilikuwa kwenye club ya watoto...good old days! Kisha st Kanumba yetu ilitembelewa na shangazi 'chei chei shangazi, uje tena shangazi, shangazi chei shangazi, tufurahi shangazi...' Awwww hii inanilengalenga machozi nikikumbuka dingi alinirekodia hiyo tape maana nilijibu maswali ...more reason to love you daddy dearest RIP
 
hadithi ya zimwi sijui.......... kilikuwa kizuri sana kile kipindi mana ikifika jmosi mchana akili yote haikai vizuri hata kula unasahau mtu. thanks mkuu kwa kutukumbusha those happy and favourite days. wish miaka irudi nyuma..........

Nakumbuka ile sauti ya mtangaji ikisema kwa vitisho au imitate sauti ya kibibi jitu.....mimi ni kibibi jituuu..naaweezaa kukumezaaaa mara moja!!!!

Yan hadi natamani kulia!dah!
 
Back
Top Bottom