mama na mtoto wafumwa wakibanjuana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mama na mtoto wafumwa wakibanjuana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Crashwise, Jul 24, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mama na mtoto wameuwawa baada ya kukutwa wakijamiiana wilayani meatu mkoani Simiyu, Tukio hilo lilitokea saa saba ya usiku juzi na mme wa marehemu kuchukua jukumu la kuwachinja chinja na kisha kutembea umbali wa kilomita 18kwenda kutoa taarifa kuwa amemchinja mke wake na mtoto wake baada ya kuwakuta wakibanjuana na kisha kusalimisha silaha alizotumia kuchinjia...binafsi nauona mwisho wa dunia hauko mbali.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huyo mama alikosa watu kabisa hadi avunje amri ya sita na mwanae.
   
 3. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Duh, mwenyezi mungu atuepushie balaa hilo na jengine,huyo mwanamke yani hajaona wanaume wote duniani mpaka mtoto
  ulombeba tumboni mwako miezi tisa? Lahaula wakuwata ilabilahi lialiyu liatheem....
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  mashetani huwa yanagawa utajiri kwa masharti ambayo yanapingana na hali ya kawaida. huenda walikuwa na mpango wa kutengeneza hela hao
   
 5. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  wallah dalili za kiama zimefika.walipata hisia kabisa.najiuliza wakati wa kupeana mautam wanaitana mpenz dear au mama
   
 6. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kipenda roho...
   
 7. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kiama bado sana, lau kama tungeweza kujua yanayotokea kila siku kila pahala duniani basi ungestaajabu zaidi.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,110
  Likes Received: 24,152
  Trophy Points: 280
  Mi namshangaa zaidi huyu kijana.... storongo iliwezaje kusimama na kupenya kwenye mfurunge wa mama yake? Khaa!
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hahahahah....still na mimi hainiingii akilini!
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwanza kitendo cha kuuona uchi wa mamae ni laana tosha sasa kaenda mpaka kumwingilia kabisa lo!
   
 11. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  abomination of the highest degree
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,110
  Likes Received: 24,152
  Trophy Points: 280
  Watoto wa siku hizi vizazi vya nyoka mkuu!
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Naona hata adhabu waliyopewa wanastahili kabisa!! Ila huyo mzee angenza kwa kuwatembeza uchi kwanza!!!
   
 14. SWEEPER

  SWEEPER JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kijana alikuwa anarudi alikotoka
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  wote wamefanya makosa ila jamaa ndio amefanya kosa kubwa zaidi.
   
 16. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Sheria mkononi! Hatari sana hii.
   
 17. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Tatizo aliyetoa hukumu hiyo ya kifo ni yeye pia ndio mlalamikaji na pia shahidi pekee! Kuna uwezekano mkubwa muuwaji huyu ameficha sababu hasa ya mauwaji hayo (hilo la kuwafumania pengine ni kutafuta sympathy/empathy tu)!
   
 18. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Speechless...................!!!!! Angry.........................!!!!!! While surprised..........................!!!!!!!!!!!
   
 19. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mambo ya kutafuta mali kwa nguvu za giza tutaona mengi sana hapa duniani.
   
 20. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hao inaonyesha walidanganywa na waganga wafanye hivyo ili wawe matajiri!
   
Loading...