Mama mzazi kupungukiwa maziwa.

TheBuilder

JF-Expert Member
Apr 21, 2014
237
212
Wasalaam Wakuu,

Mama ana mtoto wa miezi 4 tangu ajifungue lakini anaupungufu wa maziwa, kwa maana hiyo mtoto hashibi.
Kawaida hospital inashauriwa mtoto anyonye maziwa ya mama pekee bila kuchanganya kitu chochote mpaka miezi sita, lakini je, linapotokea tatizo kama hili suruhisho lake ni nini, ni kitu gani cha nyongeza apewe ili ashibe vizuri.

Nitashukuru sana kwa mchango wako.
 
Mkuu mtengenezee mama supu ya kutosha, anywe asubuhi, mchana jioni. Pia mama ale ashibe apate joto la kutosha... Hapo maziwa wala wala... Sasa sio ashindie vidagaa utegemee maziwa mengi..
 
Kitu kingine wivu wa mchepuko ama visa na watu vyaweza changia kama upo karibu na wazee wa busara waweza waona
 
Kuna muda inatokea sijui huwa ni nini jamani!mie ilinitokea hiyo,ee bwana eeh nlinyweshwa soup,uji wa pilipili manga hadi nikajuta!maziwa hayakuongezeka wala nini zaidi tuu ya kunenepeana kama kitimoto!
 
Pole sana, halafu ukute anayekutunza ana asili ya uchagani, umasaini au wameru, unaweza jipata unakula lita ya mafuta kwa siku usipokuwa makini. Chakula ni muhimu kuhakikisha upatikanaji wa maziwa ya kutosha kwa kwa baby, ingawa pia sio 100% kwamba maziwa yatatosha. Cha muhimu mama ale balanced diet ili kuahakikisha maziwa yapatikanayo hata kama ni kidogo yana virutubisho vyote.
 
Waapi ndugu yangu hata sio mchaga ni ile tuu watu wanakaririshana mambo,kuna mdogo wangu yeye akiwa kwenye uzazi ndio kwanza hataki cha uji wala soup anajitwangia ugali na wali na maziwa yanamwagika utadhani ugomvi!
 
Nakubaliana na wewe, watoto wangu watatu sikuwahi kula supu wala uji lakini niliweza kupump lita moja kila siku kwa ajili ya kumuachia mtoto nikienda kibaruani. kipindi kile cha miezi mitatu nikiwa maternity leave nilikuwa nakamua na kuhifadhi kwa sababu yalikwa mengi sana na mtoto hakuweza kunyonya akamaliza yote.
 
Back
Top Bottom