Mama mwenye nyumba sijui ananitafuta nini jamani!

Mama mwenye nyumba sijui ananitafuta nini jamani!

kijana huna kazi ya kukuweka busy ? mbona kama vile ninyi nyote ni watu wa kushinda nyumbani?

halafu na wewe umekuwa mkarimu sana kwake..!
Hhaahhahahah mkuu punguza kashfa.
 
Mueleze kidogo mama nyumba wako alivyo! Analipa?? I.e sura shape n.k??
 
Hhaahhahahah mkuu punguza kashfa.

mkuu hii sio kashfa bana!

imagine, sabuni ya kuoga, uombwe!!........ asubuhi hiyo!

dawa ya meno nayo!........ unalipa wewe!

uangalie movie (halafu anajuaje kwamba una movie mpya?.. si kuna communication hapo? si ndiyo?).. anaazima!

sasa hapa kodo ya nyumba unalipa ili iweje endapo matumizi ya mama mwenye nyumba unayatoa tena wewe??

something fishy is going in there between them!
 
kijana huna kazi ya kukuweka busy ? mbona kama vile ninyi nyote ni watu wa kushinda nyumbani?

halafu na wewe umekuwa mkarimu sana kwake..!

Ukose kazi utakaaje Mjini bana! Siku za kushinda hom si jumamosi na Jumapilil tu
 
Ukose kazi utakaaje Mjini bana! Siku za kushinda hom si jumamosi na Jumapilil tu

jumamosi na jumapili? kwa hio na wewe ndio unatumia hiyo chance kuweka ukaribu na mother house?

kinachomfanya asimwambie wazi wazi ni nini?

huyu kijana ni sitaki.... nataka!
 
Hapa napokaa mama mwenye
nyumba ni Mama wa Nymbani tu ni mama wa Makamo kidogo, sasa anavituko
juu yangu mpaka simuelewi!

Kwanza nikipata mgeni wa Kike tu atanuna vibaya hanisemeshi mpaka

akitoka utasikia ameanza kuniuliza huyo ndo mke wako?

Mara siku zingine anaingia kwangu na kanga tu eti anaomba dawa ya mswaki
anataka akaoge!

Mara niazime sabuni ya Kuogea!

Akisikia tu naangalia Muvi Mpya tu anakuja kuazima!

Siku zingine huniomba Ufunguo nikitoka misele Nakuta Poti La Ubwabwa na
Minofu Hasa siku za jumapili!

Huwa najiuliza sana aisee ukizingatia mme wake Soja yuko mkoa kikazi,
Sasa huyu mama ananitafutia majanga mwenzenu Hata simuelewi kabisa!

Napata wazo La kuhama hapa Huwa Sina Michezo na Wake za Watu kabisa
Akuu! Nisijefumwa nikapigwa Bastola bure!

choose either of the two,
1. uhame nyumba mapema kabla moto haujakuwakia au
2. usubir upewe limbwata kwenye huo ubwabwa, utembee na mke wa soja ila siku ukibambwa ndo itakuwa 'tulikupenda zaidi ila ...'
 
Hapa napokaa mama mwenye nyumba ni Mama wa Nymbani tu ni mama wa Makamo kidogo, sasa anavituko juu yangu mpaka simuelewi!

Kwanza nikipata mgeni wa Kike tu atanuna vibaya hanisemeshi mpaka

akitoka utasikia ameanza kuniuliza huyo ndo mke wako?

Mara siku zingine anaingia kwangu na kanga tu eti anaomba dawa ya mswaki anataka akaoge!

Mara niazime sabuni ya Kuogea!

Akisikia tu naangalia Muvi Mpya tu anakuja kuazima!

Siku zingine huniomba Ufunguo nikitoka misele Nakuta Poti La Ubwabwa na Minofu Hasa siku za jumapili!

Huwa najiuliza sana aisee ukizingatia mme wake Soja yuko mkoa kikazi, Sasa huyu mama ananitafutia majanga mwenzenu Hata simuelewi kabisa!

Napata wazo La kuhama hapa Huwa Sina Michezo na Wake za Watu kabisa Akuu! Nisijefumwa nikapigwa Bastola bure!

Mpaka hapo unafanya upuuzi utakaoweza kukugharimu.sumu au miti shamba.
 
Mkuu pole, anza kutafuta mahali pengine utakapohamia maana mambo yote ni tatizo kwako. Ukikubaliana na matakwa yake nadhani uaijua sumu ya mke wa mtu na ukimkataa atakuletea zengwe kwa mumewe.
 
Kula mwanangu hiyo kitu ya hao binadamu inakuwaga quality kinomaa!utakuta inatoa povu la kufa mtu!,
 
Keshakolea na mapochopocho ahame ili iweje? Ngoja apewe gemu na mtu mzima anayejua mambo kama hata kuoa haja ahirisha..take care dogo!
 
"jirani jirani yangu eeeh nimekukosea nini kila ninachokuomba jirani eeh mwenzangu wanikatalia..
sasa nikueleweje jirani eeh sasa nikueleweje mwenzangu eeh mimi na wewe ni kitu kimoja....

acha kujifanya huelewi.....
 
inakuwaje aingie rum kwako atakavyo, mara dawa ya meno mara sabuni... dogo vipi? hadi unamuachia funguo?
 
Kwanini aombe funguo za chumba chako nawe ukubalie
Inaonekana unaukaribu sana naye
Kitakachofuata ataomba funguo halafu unamkuta kalala kitandani kwako
 
ha ha ha haaa, kijana huelewi nini hapo na kila kitu hadharani?ila be very carefull aisee ikiwezekana uhame hiyo nyumba, hafai huyo, atakusababishia matatizo makubwa ya ulimwengu!
 
Kaka ushauri ni kwamba achana nae maan mke wa mtu sumu ata kama asingekuwa wa mjeda we mpotezee tu watakuja kukufirisi bure si unajua mjini mipango ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom