Mama mwenye nyumba aaaaarrrrrghhhh.....#$&#$%%#% kabisa

wakyagara wakinyora

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
735
Reaction score
288
wadau mi huyu maza simuelewi kabisa,nilipokuwa nahamia akadai eti nyumba yake haiwekwi mapazia.ilikuwa bonge ya soo ilibidi nitumie ubavu ndio niweke mapazia.coz akiwa anapita anaenda toilet lazima achungulie ndani kuna nini kama dirishani hakuna pazia.akikuta pazia limefungwa basi atagomba siku hiyo na kununa tangu asubuhi mpaka jioni.sasa tangu ramadhan ianze akishafuturu tu kwake lazima aje kwangu kugonga menyu....eti anakuja kunikumbusha kuhusu kodi inayoishia wiki mbili zijazo.sasa kila siku?????#$@$%.imebidi tu nimwambie waifu awe anaongeza kipimo manake tusije kuwa hatushibi kwa ajili yake.....aaaaaaargggghhhh mama mwenye nyumba ni nyankundo kabisa!!!!!!!!!!
 
Mwambie waifu asepe ubaki na mama mwenye nyumba upunguze matumizi.Itakula kwako.
 
wadau mi huyu maza simuelewi kabisa,nilipokuwa nahamia akadai eti nyumba yake haiwekwi mapazia.ilikuwa bonge ya soo ilibidi nitumie ubavu ndio niweke mapazia.coz akiwa anapita anaenda toilet lazima achungulie ndani kuna nini kama dirishani hakuna pazia.akikuta pazia limefungwa basi atagomba siku hiyo na kununa tangu asubuhi mpaka jioni.sasa tangu ramadhan ianze akishafuturu tu kwake lazima aje kwangu kugonga menyu....eti anakuja kunikumbusha kuhusu kodi inayoishia wiki mbili zijazo.sasa kila siku?????#$@$%.imebidi tu nimwambie waifu awe anaongeza kipimo manake tusije kuwa hatushibi kwa ajili yake.....aaaaaaargggghhhh mama mwenye nyumba ni nyankundo kabisa!!!!!!!!!!

Nyankundo kuibhora zake!
 
Hayo ndo madhara ya kupanga Tandale uzuri kisa eti karibu na mjini Posta, wakati unakaa miezi sita hujakanyaga posta wala Kariakoo! Bora anakuja mama mwenyewe..atakapoanza kutuma na mabinti zake...
 
unajua maana yake au ndo ushabiki tu?

kwani akisema "ndiyo" inatosha kwako kujua anajua maana yake? Acha kutukana kaka tena watu wazima hata kama inawezekana mhusika hayupo jf. Neno uliloliandika ni tusi baya, kwa mtu aliyelelewa vyema si busara kutafsiri jf hilo tusi. Hata hivyo, unapaswa kujua jf, inasomwa na makabila yote tanzania including ya neno ulilomtukana mwenye nyumba wako.
 
Back
Top Bottom