Mama mwenye nyumba kaikataa kodi yangu, loh!

HORSEPOWER

Jana umeandika thread kwamba wewe ni kijana ambaye umemaliza form 6 na kuchaguliwa chuo kikuu dodoma na mama yako alikuja dodoma over the weekend akikuambia muongozane wote mje dar ati akuoneshe baba yako mzazi orijino maana yule unae ishi nae si mwenyewe!!

Sasa leo naona umekuja na uzi mpya kwamba una mika 28 na unafanyakazi kwenye shirika la moja "KUBWA" la umma na unaishi Dar!! mbona fix nyingi dogo?? tukuelewaje?? chuo umeacha dodoma?? huko sinza kwa remmy umehamia lini??

Jiheshimu kijana..kumbe tuna akija :"Jane_00" hata wa kiume humu JF?? Kwl JF KIBOKO..LOh

Siyo kosa lako ndugu, inaonekana kuwa huwa hausomi mada mpaka mwisho. Mwisho wa mada kuna maneno haya
****** Email ya mdau mmoja toka Sinza kwa Remmy anaomba ushauri ****

hujamsoma jamaa vizuri, yaani ameileta hii mada kumsaidia mshikaji wake sio yeye mwenyewe....
 
mkuu ndio miafrika tulivyo ndio maana daily nchi inaingia kwenye hasara kubwa kutokana na mijitu kua mivivu ya kusoma

Siyo kosa lako ndugu, inaonekana kuwa huwa hausomi mada mpaka mwisho. Mwisho wa mada kuna maneno haya
****** Email ya mdau mmoja toka Sinza kwa Remmy anaomba ushauri ****

mkuu ndio miafrika tulivyo ndio maana daily nchi inaingia kwenye hasara kubwa kutokana na mijitu kua mivivu ya kusoma

Halafu mbaya zaidi anatoa comment za kumtusi mtu, wakati yeye mwenyewe hajaelewa nini kilichoandikwa! Ubinadamu kazi!!!
 
Back
Top Bottom