Mama mwenye nyumba ananitega sana

Mama mwenye nyumba ananitega sana

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
3,344
Reaction score
2,537
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!! sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tufanye mapenzi nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo.

Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama simtaki coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namla mama yao na tunaheshimiana sana.

Wazo la kuhama limenijia usiku wa leo sana.

Nifanyeje?
 
Kihesabu 27<x<50
Wewe above 27
Mama Mwenye nyumba above 50......
 
Huyo mama muasherati,leo rudi kwa kunyata ukiingia tu funga mlango kwa ndani.
 
Nilipohamishiwa
kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie
kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye
kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana
watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila
nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe
anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku
nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula
nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule,
nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV
nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia
ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si
akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja
hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda
sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo
kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!!
sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho
unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina
hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama
ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27
nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho
yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo
wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namx mama yao
na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.

nifanyeje?

kula vitu generali ahaaa anataka kukufanyia mambo makubwa ambayo hujawai fanyiwa
 
mwambie ukweli tu hutaki mahusiano ya ngono na yeye full stop. Ukiwa unampa viahadiahadi uatajua nawe unamtaka na hatakoma kukufuatafuata
 
Uongo ni gharama sana ulishindwa tu kumwambia huwezi fanya uzinzi au ndo walewale unashikwa kwenye masikio umekodoa tu,unajua mmewe alikufa na nini,ogopa uzinzi utajuta kijana.
 
Sikiliza nikwambie kijana, huyo mama wewe utakuwa unamuonyesha mazingira ya kukubali ndio maana anajiachia kiivyo. kama wewe ni mkiristo suala hilo haliitaji hata kuomba Mungu, ni wewe kuchukua hatua za kukimbia tu na kumkemea!! unaweza kusoma biblia kitabu cha Mwanzo 39:7-12. usimchekee kabisa. Yusufu alimwambia mwanamke wa Potifa, kwamba Mimi itawezekanaje nimtende Mungu wangu dhambi kubwa nana hii? habari za kumwambia eti hujisikii, hauna ham kwa leo, unajiwekea mtego wa shetani mwenyewe!!!!
 
Back
Top Bottom