Mama mwenye nyumba ananitaka

Maneno ya kiume na yenye heshima kubwa yanafaa kuandikwa kwenye kuta ya dhahabu halfu uweke nyumban kwako wewe mwiz....
 
Umesema MAMA, yaani ni kama mama yako. Ogopa hii dhambi cheif em achana na kile kiroho kinachokwambie 'Sijui nimtafune tu'.
 
Dogo maisha magumu watu wanastress za maisha angalia zisije kukuishia wewe? Sio ujanja kula mke wa mtu ndugu yangu achana na hayo mawazo maana yanaweza kubadilisha historia ya maisha yako ghafla.
 
Kula lazima aliwe.
Wewe mwambie anunue KY tu kabisa ili kumuepushia michubuko. Na awe anatembea nayo
Nakula na haliwi mtu!

wangapi wanakula watu za watu na bado wako vizuri
 
aisee, isije ikawa ndiye wewe kijana mpangaji wangu hapa kwangu. ngoja nianze kuwafuatilia. nakushauri uhame haraka kijana maana nikikukamata....
Ahahah
mkuu unaishi sehemu gani?
 
nami pia nina mke wangu


wakuu hii dhambi naiona kabsa ila hofu ni huyo mme wake maana tunaheshimiana saaaana!
akijua sijui itakuaje, !

Unamuogopa mumewe ila mkeo humuogopi???!!!!
 
Natamani siku ukifumaniwa nije kukuvisha shanga
 
We mkali, nayaona manyoya hayooo yanakaribia kuruka. Asante kwa taarifa.
 
Yaani wewe una mukhofu mume wake tu? Hukhofu mungu? Humukhofii mkeo pia?
 
tutaona manyoya baada ya wewe kuliwa na mumewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…