Mama mwenye nyumba ananisumbua sana ana anataka nitoke nae

Kwahiyo unataka nn, jinsi ya kumgegeda, kumkwepa, kushade hasara, kukimbia au kumuuwa mmewe??????
 
Kama hadithi yako ni ya kweli basi utafungwa jela muda si mrefu kwa kosa la kutaka kubaka. Wanawake hawashindwi lazima atakutia adabu tu. Mgonge wakati unatafuta pa kwenda.
Hawajui wanawake, watamdhalilisha muda si mrefu.
 
Hv wewe kila siku wanatangaza kamata fursa au huwa huelewi maana yake? Basi nikwambie hv jiongeze
 
Kama hadithi yako ni ya kweli basi utafungwa jela muda si mrefu kwa kosa la kutaka kubaka. Wanawake hawashindwi lazima atakutia adabu tu. Mgonge wakati unatafuta pa kwenda.
Kweli kaka ngoja nijiongeze hawachelewi kusema nilikuwa nataka kumbaka
 
Naombeni ushauri jaman Mimi ni kijana wa kiume nimepanga Chumba kwenye nyumba moja hapa mjini na ninaishi na familia ambayo imenipangisha chumba (yaani tunaishi kwenye nyumba moja)

Ila tatizo kubwa sana mama mwenye nyumba ananilazimisha nitokenae kimapenzi wakati ana mume wake. me kwan upande wangu nimeshamwambia tayari kama haiwezekani sasa ananisumbua mda mwingine anaingia chumbani kwangu na kuanza kunilazimisha tufanye mapenzi ila namkatalia.

Jaman huu usumbufu ni takribani mwenzi wa pili unaenda sasa.
Labda hujamuelewa tu! Yeye anataka mtoke outing na si kimapenzi wewe unahisi anataka mtoke kimapenzi!!
Woga wako utakuhamisha nyumba nyingi
 
kwanza mimi huwa siamini kama sisi wanaume huwa tunakataa kufnya ngono...pale inapotokea mwanamke akakutka ...yaani sisi huwa hatujali mzuri ..cjui mbaya..huwa tunagonga tu kwaajili yakuondoa tamaa ya mwili...
kisha majuto baadae ..ndio maana kukuta mwanaume katembea na mkwewe.au shemeji yke nijambo dogo mnoooo....kwasbbu huwa tunasukumwa na nyege...

so wewe nimwanaume gani mkuu...unayefuatwa mpka ndani then hufanyi kitu...au unatupa chai tu...
 
Back
Top Bottom