artha
Member
- Dec 15, 2017
- 91
- 30
Naombeni ushauri jaman Mimi ni kijana wa kiume nimepanga Chumba kwenye nyumba moja hapa mjini na ninaishi na familia ambayo imenipangisha chumba (yaani tunaishi kwenye nyumba moja)
Ila tatizo kubwa sana mama mwenye nyumba ananilazimisha nitokenae kimapenzi wakati ana mume wake. me kwan upande wangu nimeshamwambia tayari kama haiwezekani sasa ananisumbua mda mwingine anaingia chumbani kwangu na kuanza kunilazimisha tufanye mapenzi ila namkatalia.
Jaman huu usumbufu ni takribani mwenzi wa pili unaenda sasa.