gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Wana mmu polen kwa kazi mchana huu.
Jamani kisa hiki ni cha kweli na kiko kinasubiria mashauri ili kufikia mahali pazuri.
Baba mmoja mjeda ana ndoa yapata 25 yrs sasa, kwa bahati nzuri sana ana watoto wakubwa ambao ni college students. maisha ya familia za kijeda nafikir wengi tunayajua so huko sitaki kwenda ila haya ndiyo yalyotokea kwenye familia yake.
Mkewe mjeda kwa siri kaamua kuuza mali za familia ambazo baba ndiye aliyezichuma kwasababu ya kuwa yeye ndio source of income nyumban na mama alikuwa ni goli kipa kitu. Mama huyu kauza nyumba maeneo fulan ambayo baba aliijenga ili atakapo staafu akapate mahalia pa kuish kuliko kubanana na watoto mjini, pia kauza kiwanja kingine kikubwa cha familia. Ha yote huyu mama anayafanya akishirikiana na watoto pasi kumwambia baba chochote. na pia aliuza wakati baba huyu alipopelekwa masomon na jeshi so akawa mbali na familia kwa wakati huo.
hela hizi mama kazitumia kumpeleka mtoto chuo nje ya nchi na kwa hesabu za haraka haraka ni kama sh mil 14 zinahitajika kwa mwaka kwaajili ya ada ya huyu kijana level ya elimu ni kusoma degree ya kwanza. wakati taratibu zote hizi zinapangwa mama hakumuhusisha baba hata kidogo na baba alikuja kumbiwa a week before kuwa mtto anakwenda ulaya kusoma alipohoji kivipi mama ikabidi amwambie ameuza nyumba na kiwanja.
Baba kuskia hivyo presha juu, akakasirika sana, alipohoji kwa hasira mtoto huyu ambaye anapelekwa ulaya akamkashifu baba yake kwamba mbona yeye amekuwa mjeda na haoni faida yake nzaid tu ya kuskia ana madem nje? tena akamwambia bora niende na mimi huko manake wewe hata dem wangu waweza kutembea nae tu nikimleta hapa home.
Baba kuyaskia na haya alishindwa kuvumilia akamtolea mwanae utupu wake akamwambia kama wewe niikutoa humu basi utakuwa kama kizibo cha kalam kinavyoning,inia kwenye mfuko wa shati. na sitaki kuona mtu akimleta padri hapa kuja kunibmbeleza juu ya kauli yangu.Baada ya kusema hayo hakuendelea kusema neno ingine akaa kimya.
sasa imebidi kijana asafiri tu kwenda shule mama yupo, na binti liyekuwepo wakati wa ugomvi ndiye aliyekwenda kusema kilichotokea. hivi kweli hii ni akili au matope? Na kwanini wanawake hatujifunzi kuwa kukosa akili kwa mara moja tu kwaweza kuondoa amani na ushirikiano ulioujenga kwa miaka mingi sana?
naombeni mawazo yenu kama ushauri ili kuinusuru familia hii na laana na mikosi ambayo tayari sasa imeingia.