Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 77 Apr 7, 2011 #1 Mama mkwe hakuridhika na mtoto aliyezaliwa na mke wa mwanae na majibizano yalikuwa hivi: Mama mkwe: "Binti samahani, ukweli mtoto hafanani na kijana wangu kabisaaa" Binti: "Bila samahani mama, huku chini nina njia ya uzazi, sio mashine ya fotokopi!"
Mama mkwe hakuridhika na mtoto aliyezaliwa na mke wa mwanae na majibizano yalikuwa hivi: Mama mkwe: "Binti samahani, ukweli mtoto hafanani na kijana wangu kabisaaa" Binti: "Bila samahani mama, huku chini nina njia ya uzazi, sio mashine ya fotokopi!"
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,799 Reaction score 9,255 Apr 7, 2011 #2 kumbe hana fotokopi machine ila ana scanner
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,938 Reaction score 9,452 Apr 7, 2011 #3 Kwahiyo kama hana mashine ya kurudufu hata mpemba sawa wakati mimi ni mrra????
A allydou JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 1,603 Reaction score 1,065 Apr 7, 2011 #4 mchina alishasema no electricity, me hot you hot child burnt. sasa unashangaa nini tena.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Apr 7, 2011 #5 AHAHAHAH! imetulia
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,791 Apr 8, 2011 #6 Ya ukweni siingilii ndo mwanzo ndoa yangu changa!