Mama mkwe nihurumie

Mama wakwe wa mjini hao mpaka jf yupo namshkuru Mungu mama mkwe wangu ana smartphone hata kutumia WhatsApp hajui
 
Mke wako sio ndugu yako, Ngoja utenguke mgongo unye hapo hapo bed ndo utaona hakuna kama mama, Uyo mkeo atatimua na kwenda kupigwa dushe, Binafsi niko tayari kwa chochote ili mama tu awe safe siangalia mama anakosa or lah, Yeye ndio first priority
Mama yako jinsia gani?
 
mmhh
 
Pamoja na utandawazi mama mkwe kuwa na akaunti kwenye social network tayari ni tatizo namba moja
 
Kwahiyo yeye hana sifa unazowapa wanawake waliobaki? Na dada zako je vipi? Stop generalisation. Wewe unafikiri kila mwanamme ni mtimilifu na kila mwanamke ni mbaya basi including your mother.
 
Kwa ufahamisho, wanaume wengi wanapougua, ndugu zao huwatenga na kuwakimbia. Wake ndio wamekuwa wa kuwatunza tofauti na wake wanapougua muda mrefu, waume huwaterekeza. Fanya research kabla ya kuja na conclusion. Swala la sky lipo kwa tangu dunia inaumbwa tunasikia ya wakwe kuwaonea wivu wake wa watoto wao wa kiume.
Siyo wote. Wengine mama wakwe zetu ni kama mama wa kutuzaa. Wanatupenda na kutujali pengine kuliko mama.
 
Mkuu nimechukua maneno yako, Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom