Ni mama yake sawa, na ni mama yangu kwasababu ni mkwe wangu na nampenda kweli! She is nice.
Sasa tatizo nikwamba ni marafiki wa mnoo na binti yake, I think she is the one who makes my wife happy kulikoni mimi, ni mama yake sawa lakini mie ni mume wake.
Nadhani mama ana nafasi kubwa katika maisha yake kuliko mimi.
Simu wanapigiana hata mara nne kwa siku inaniboa.
She is too close hadi najisikia kama hatujakua coz as if she is watching over us.
Ikumbukwe kwamba kikwetu so long as nimeoa, jina la mwishoni la mke wangu linakuwa langu.
Na mwenzangu anaonekana yupo happy, anaona kawaida na ukaribu huo, yaani hakuna tofauti na alipokuwa nyumbani na sasa alipoolewa.
Na mie nataka that independent family.
Nahisi kuchoka