Mama mkwe mtarajiwa...

Kwanza huyu sio mama mkwe maana hujamuoa au kuolewa,,,ila ni mama wa aliekua mpenz wako so ni makosa kumwita mkwe.

Pili lazma usimamie nafas yako kwamba yameshapita na kibut mlishapigana so mweleze ukwel kwamba sitak hiki hiki na hiki
 
Tatu,, mnaosema hampend kua na wakwe karib ambao mmeolewa au kuoa sasa mnataka kukaa na nani?? Muwe narib na nani?hujui wale ni wazaz wenu?/kwa hyo muwe mbali na wazaz wenu kwel inaingia akilini?? Haya mtavuna mnachopanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom