Mama mkwe mtarajiwa...

Mama Mkwe
baba mkwe
mashemeji

ni watu wa kuwaweka mbali kiaina
hutakiwi kuwa nao close....sababu unaweza shindwa namna ya kuwatazama usoni
mkishindwana na mtu wako

ivi hawa bado wanakua referred as wakwe hata kama hamjaoana? maana naonaga uzito kwenye mahusiano kuwaita wakwe...nzigo mpaka ndoa ndo ntaita wakwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom