Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
Aaah kabisa!Sijambo jiran naona hutak masihara na ukwen kwako
Aaah kabisa!Sijambo jiran naona hutak masihara na ukwen kwako
Aaah kabisa!
Jirani unataka kunioa?Hv umeolewa enhee
Nakubali sana unavyowajibu hawa jamaa ambao wamefanya kukusakama ndo kiki kwao....calm and confident,bravo mkuuHahaha umechelewa kidogo tu,lakini reply tu nafasi ipo
True mkuuNakubali sana unavyowajibu hawa jamaa ambao wamefanya kukusakama ndo kiki kwao....calm and confident,bravo mkuu
Yes true kabisaNdio maana huwa sitaki ukaribu na upande wa pili kama uhusiano wenyewe haueleweki. Tutafahamiana ikitokea uhusiano una future, tena siku ya utambulisho maalumu.
Nn mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona kuku anaitetea ujue anataka,...
Osha rungu babuHabarini ndugu zangu.
Baada ya miaka mitatu ya mahusiano, mwezi wa nne mwenzangu alinimwaga bila sababu. Nilimuheshimu, nilimjali, nilimsupport kwa mambo yake nk. Aliniambia kanichoka na upendo tena haupo hivyo nimwache akatafute upendo mahala pengine.
Ilikuwa ngumu kukubali ukuzingatia home kwao kote nilijulikana ingawa haikuwa rasmi na kitendo hicho kilimfanya mama mkwe awe karibu sana na mimi.
Mimi sina wazazi. Mama mkwe amekuwa karibu yangu kiasi cha kuogopa nitamlipa nini. Nikiumwa yupo muda wote, nikipata shida yeye ni wa kwanza kunisaidia. Amekuwa rafiki sana kwangu kiasi cha kujua ninapopata shida hata kama sijaongea.
Of course anajua juu ya relationship yetu na hata tulipogombana anajua. Sasa kinachonipa mawazo, Jana nilikua napiga nae story. Sielewi mada za ndoa zilikujaje ndipo nikaropoka kuwa mimi natafuta Pesa na wala sitaki ndoa.
Mama mkwe hakukubaliana na Mimi na maneno aliyokuwa akiongea ni kama vile anataka kunirudisha kwa mtoto wake tuliyetoka kugombana naye toka mwezi wa NNE.
Binafsi nafikiria kumkimbia huyu mama mkwe, nikijaribu kuzima simu anakuja hadi home.
Sijui nifanyeje kumkimbia huyu mama bandugu maaana naona ataturudisha kule tulipotoka.
Msaada tafadhali.
Daah we jamaa bhana..Usikubali upoteze nafasi hiyo! Kama yeye ameamua akuache bila ya sababu ya msingi, mtembezee moto huyo mama mkwe halafu hakikisha huyo aliyekuwa mchumba wako analijua hili! Tuone nani atakayeumia zaidi......
To me revenge is best method of avoiding tears and harmonizing situation.
Jiran hapana sina mpango huo damu yangu na wazee hazipatani acha nikae na hv vitoto nivitunzeJirani unataka kunioa?
jitahid kesho uwahinlijua ntakuwa wa kwanza kurply kumbe ushawahi siti yako