Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 529
Kusolve nini sasa jamaa? Mahusiano hua ni ya watu wawili, pale mioyo yao inapokua imependa, hakuna cha mzazi wala jirani anaweza kuwaamulia watu, na wazazi wengine huwatoa watoto wao kwenye eneo salama na kwenda kuwadumbukiza pabayaMimi ni Mwanaume 28yrs mkurya nilivofika dar nilikutana n'a bint mmoja nikamtongoza akakubali.
Huyu binti (21yrs) ni mgeni dar from mkoa X nyanda za juu kusin anaishi kwa shangazi yake dar
Hakuwahi kuniuliza Kabila nahisi alijua mimi ni from dar /pwan
kwasababu Mimi Sina ukabila sikuzingatia sana kwanini haniulizi Kabila langu.
Tuna mahusiano ya miez 11 kwa bahati nzuri alipata ujauzito kwenye uchumba manake sasa in animimba ya miez5 .
Shangazi yake aligundua ana mimbaa ikiwa n'a miez3 wakambana akanitaja.
Kwa sababu nilikua n'a malengo nae nikamwambia relax ntakuja kujitambulisha nitakuoa akakubali.
December nikarudi home kuset Mipango ya washenga na mahari.
December mwishon akanipigia simu anasema mama yake kamuuliza mwenye mimbaa/muoaji ni Kabila gani.
Nikacheka nikamuuliza umejibuje akasema amemwambia mimi ni Kabila X tofauti na mkurya.
Akadakia ghafila akasema ety mama amemwambia huyo Mwanaume /Mimi kama angekua mkurya asingekubalika ukweni
Straight nikajib Mimi ni mkurya pure Ila nmekulia dodoma wazaz mdugu karibu wote wako dodoma
nikachukulia ni masihara Kumbe ni serious nikamwambia mwambie tu ukwelii.
Akampigia simu akaniunganisha akamwambia ukweli mama akanza kufoka kumbe yupo serious anamwambia mara unatamaa, umeokoteza wAnaume Huko huwajui Mimi simtaki kama utamkubal ni Wewe mixer maneno kibao.
Nikamchunguza Bint akaniambia Kuna kaka yao aliwahi pata majanga huko mara miaka ya nyuma may be maana wanakisas.na makasiriko.
Binti ananipenda haswa Mimi pia nampenda
Binti kaniambia Yuko tayari kwa lolote Bora nimuoe hâta kama wakimtemga .
Kama Kuna Kuna namna ya kusolve hili ratizo naomba maelekezo/ushauri
Sio kweliiYaani hata kama binti atafosi muishi kama hakuna baraka kutoka kwa wazazi na mitabia ya wakurya navoijua hamtaishii.....wakurya wana tabia mbayaaaa hawana utu kwa kiumbe mwanamke.....
🙏Kusolve nini sasa jamaa? Mahusiano hua ni ya watu wawili, pale mioyo yao inapokua imependa, hakuna cha mzazi wala jirani anaweza kuwaamulia watu, na wazazi wengine huwatoa watoto wao kwenye eneo salama na kwenda kuwadumbukiza pabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
🙏Kama binti ana mimba busara itafanya kazi yake tu.... Kaa kwa kutulia tu
,🙏Relax watakutafuta wenyewe
Mama mkaliRelax watakutafuta wenyewe
Toa ushaurWanasema mkurua bila mwanamke kupigwa inaonekana hapendwi
Niko hapa nimekaa nakupee miaka ngapi?Sio kwelii
Maadam bint anakupenda na kaamua kuwa upande wako mpende sanaMimi ni Mwanaume 28yrs mkurya nilivofika dar nilikutana n'a bint mmoja nikamtongoza akakubali.