julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Habari zenu wana janvi?
Nimekuwa ni mtu wa kujichanganya na jamii sana, hali iliyonifanya kuwa na marafiki wengi sana wa namna tofauti tofauti ila nashukuru sijawahi kukosana na mtu katika mtaa hii! japo najua si kila mtu ananipenda!
Sasa kuna bidada mmoja wa makamo ana watoto wawili wa kike ni best yangu mkubwa sana mara nyingi nimekuwa nikipiga naye sitori na kutaja hata papuchi kwa jina lake sahihi mbele yake! sasa juzi kati yeye na rafiki zake wengine walinishawishi kuoana na binti yake nami nilipofanya jaribio la kuongea na mtoto wake leo alionekana kama kasetiwa hana hapana kwa kila nalo sema! ilinifanya niogope japo mtoto ana sifa za kuitwa mke wa mtu (20 yrs ni umri wake), sasa nami nilimtaka tuanze mahusiano, theni uchumba baadae kama ni mapenzi yake mola ndio ndoa!
ila hakuna alicho pinga jamani emu nifungueni macho hapa nisije ambulia kulia! au kama niko sawa niwekeni wazi!
Habari zenu wana janvi?
Nimekuwa ni mtu wa kujichanganya na jamii sana, hali iliyonifanya kuwa na marafiki wengi sana wa namna tofauti tofauti ila nashukuru sijawahi kukosana na mtu katika mitaa hii! japo najua si kila mtu ananipenda!

Samahani" ........ Unamaana ulitafutiwa demu wa ........... Oohhh
mkuu we lazima una profoundly-gifted IQ!yani leo tu umegundua motto ana sifa za kuitwa mke wa mtu?....ngoja wajuzi wa mambo waje,mi kwangu :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:Habari zenu wana janvi?
Nimekuwa ni mtu wa kujichanganya na jamii sana, hali iliyonifanya kuwa na marafiki wengi sana wa namna tofauti tofauti ila nashukuru sijawahi kukosana na mtu katika mitaa hii! japo najua si kila mtu ananipenda!
Sasa kuna bidada mmoja wa makamo ana watoto wawili wa kike ni best yangu mkubwa sana mara nyingi nimekuwa nikipiga naye sitori na kutaja hata papuchi kwa jina lake sahihi mbele yake! sasa juzi kati yeye na rafiki zake wengine walinishawishi kuoana na binti yake nami nilipofanya jaribio la kuongea na mtoto wake leo alionekana kama kasetiwa hana hapana kwa kila nalo sema! ilinifanya niogope japo mtoto ana sifa za kuitwa mke wa mtu (20 yrs ni umri wake), sasa nami nilimtaka tuanze mahusiano, theni uchumba baadae kama ni mapenzi yake mola ndio ndoa!
ila hakuna alicho pinga jamani emu nifungueni macho hapa nisije ambulia kulia! au kama niko sawa niwekeni wazi!
Una umri gani? mbona maongezi yako yanaonyesha unacheza bai shoo i love you bebi
mkuu we lazima una profoundly-gifted IQ!yani leo tu umegundua motto ana sifa za kuitwa mke wa mtu?....ngoja wajuzi wa mambo waje,mi kwangu :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
Una umri gani? mbona maongezi yako yanaonyesha unacheza bai shoo i love you bebi
ze bebi tugezaa....hahaa we sista wewe! Anacheza baishoo mwenzio?
Jamaa hajitambui kabisa,hajui kilichopo mbele yake!Rahisi siku zote huwa aghali!
Angalia mwisho wa siku husije ukatoka na mama mkwe wako!