mlikosana nini mbona unaongea shortcut sasa sisi tutakushauri nini ?
huenda mpaka mama mkwe ulishamchosha na tabia zako chafu mpaka anaona bora uachane na mwanaye maana unajua uchungu wa mwana aujuaye mzazi.(ni mawazo yangu tu lakini ).
Kwao nimeenda hayupo na kuna taarifa nimesikia kwamba ameenda nje ya mkoa japo sina uhakika nazo mimi mwenyewe nawaza nimpotezee kwasababu hataki mawasiliano labda siku akihitaji matumizi ya mtoto atanitafuta yeye mwenyewe
Huwa ni wakati mgumu ila jikaze mzee mwenzetu mana maisha lazima yaendelee na ukiona wanakukazia tafuta tu mwanamke mwingine ili uokoe nafsi yako kuwa mtumwa.
Chakufanya wewe fanya mambo yako, fanya kila namna mhudumie mwanao tu, kama ni shule aende. Mimi ilinikuta km hiyo, na shida ilikuja kumpata mtoto kuchelewa kuanza shule, na mpk sasa wa rika lake wako madarasa mawili mbele.