Mama mkwe kambania

Mama mkwe kambania

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Hii ni picha ya mpenz wangu tuliyeweka malengo ya kufunga ndoa,cha ajabu nimempeleka nyumban kwa wakwe kumtambulisha mama kakataa katakata wakati ye ndo aliyenishauri nioe kwa kuwa umri umekwenda.wanaJf mnanishaurije na baby wangu kiukweli nampenda sana sitaki kumpoteza...
 

Attachments

  • Baby.jpg
    Baby.jpg
    11.7 KB · Views: 537
Duh..!demu mzuri hivyo wanamkataa,mimi nakushauri umuoe kwa nguvu jombaa
 
Hii ni picha ya mpenz wangu tuliyeweka malengo ya kufunga ndoa,cha ajabu nimempeleka nyumban kwa wakwe kumtambulisha mama kakataa katakata.wanaJf mnanishaurije...

Ndo Mumeo mtarajiwa? Mbona yuko pouwa tu Mkuu?
 
karne izi hakuna kuchaguliana wa kuowa wala kuolewa nae mshirikishe mungu,kisha fanya maamuzi yako.
 
Yani kama mie ndo mama mkwe mbona fasta tu natafuta mshenga tukajichukulie goma kabla watu hawajaliwahi. Maana laif yangu itakuwa full kucheka nikimuona mkwe.
Yaani wewe Mkare na yeye Hatare.
 
Kwani wao ndo watakaeishi naye chukua jumla haraka kabla cjakuchukulia..
 
Searching...100%
Loading...0%
Network Failed

Hakuna mchumba hapo
 
Back
Top Bottom