Mama mkwe jamani msaada!

Mama mkwe jamani msaada!

SWEET HUSBAND

Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
97
Reaction score
57
Enyi wadada na wamama wa kileo,tufunge tumwombe Mungu atusaidie tuje kuwa mama wakwe wema wenye upendo wa kweli sio wa kinafiki.Naandika tu lakini nilishamwachia Mungu afanye anavyopenda yeye ila sasa ninazidi kuumizwa.

Hivi kina dada wa humu niambieni,wewe ukiwa na mimba huwa unamwambia mama mkwe? Yamenikuta sikusema ila hua naenda kusalimia wakwe zangu na tumbo wanaliona,sasa mama anasema why sijamwambia maana ndio nimejishaua tunaongea nae kwenye simu yuko mkoani nikajidai nimechoka ila this week ndio naweza kutua mzigo mama,looooh!!! najuta anashangaa kwani wewe ni mjamzito?mbona hujawahi kuniambia!

Niko mama sasa si hua unaniona jamani,anasema nilipaswa nimwambie. Mwenzenu hata mama yangu hua simwambii ananionaga tu tumbo hilo.

Ninachoshangaa ni mimba ya pili ya kwanza pia sikusema waliniona tu.Naumiaje sasa changanyia sipendwi na mama mkwe !Nimelia tu mwenyewe nimefuta machozi nimezama JF kujifariji!

Msiniponde maana mume ndo kashaniponda anasema nijitakia kulia kwani wewe ni mgeni na mama mkwe wako!wali sikuambii nyamaza na kilichokufanya umpigie ni nini?kaondoka akirudi namnunia live!!

Msimtukane mume wangu,nitaumia zaidi,sorry kwa mipaka.

PLEASE PRAY FOR MAMA WAKWE WOTE NA SISI PIA TUWE NA UPENDO WA KWELI!!inafsi ninaupendo sana na wakwe zangu,ni basi tu mama huwa ananikwaza sana.
 
Haya wakina dada msaidieni mwenzenu maushauri yenye amani na uadirifu
 
Ngoja namwona SWEET HUSBAND anachungulia atakuja kukushauri.................endelea kulia kwanza ili upunguze hayo machungu!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
All in all jukwaa sio lake, hii ipelekwe MMU.
 
Na wewe ulizidi...upunguze mdomo sasa...otherwise umwambie at yout own risk!!Kumbe ushamfaham...
 
Enyi wadada na wamama wa kileo,tufunge tumwombe Mungu atusaidie tuje kuwa mama wakwe wema wenye upendo wa kweli sio wa kinafiki.Naandika tu lakini nilishamwachia Mungu afanye anavyopenda yeye ila sasa ninazidi kuumizwa.

Hivi kina dada wa humu niambieni,wewe ukiwa na mimba huwa unamwambia mama mkwe? Yamenikuta sikusema ila hua naenda kusalimia wakwe zangu na tumbo wanaliona,sasa mama anasema why sijamwambia maana ndio nimejishaua tunaongea nae kwenye simu yuko mkoani nikajidai nimechoka ila this week ndio naweza kutua mzigo mama,looooh!!! najuta anashangaa kwani wewe ni mjamzito?mbona hujawahi kuniambia!

Niko mama sasa si hua unaniona jamani,anasema nilipaswa nimwambie. Mwenzenu hata mama yangu hua simwambii ananionaga tu tumbo hilo.

Ninachoshangaa ni mimba ya pili ya kwanza pia sikusema waliniona tu.Naumiaje sasa changanyia sipendwi na mama mkwe !Nimelia tu mwenyewe nimefuta machozi nimezama JF kujifariji!

Msiniponde maana mume ndo kashaniponda anasema nijitakia kulia kwani wewe ni mgeni na mama mkwe wako!wali sikuambii nyamaza na kilichokufanya umpigie ni nini?kaondoka akirudi namnunia live!!

Msimtukane mume wangu,nitaumia zaidi,sorry kwa mipaka.

PLEASE PRAY FOR MAMA WAKWE WOTE NA SISI PIA TUWE NA UPENDO WA KWELI!!inafsi ninaupendo sana na wakwe zangu,ni basi tu mama huwa ananikwaza sana.

ahhhhhh yani hicho ndicho kinakuliza, we bana acha hizo utamuumiza mwanao bure

kwani ulifikiri huyo mama mkwe ni mamaako mpaka akupende? that is obvious acha kujiumiza bure

kitu chenyewe hakina kichwa wala miguu kwani aambiwe mimba yeye ndiye aliyeiweka? kwa nini asiambiwe na mwanawe
achana nae we muignore tu uendelee na maisha yako, hawanaga shukurani hao
 
Kushika mimba ni baraka na inapendeza kuwashikirisha ndugu zako ili wakubebe katika maombi kwa kipindi chote cha miezi 9 kwani kunawakati utakuwa umejichokea huwezi hata kufanya maombi mwenyewe
 
Na wewe ulizidi...upunguze mdomo sasa...otherwise umwambie at yout own risk!!Kumbe ushamfaham...

Sio mdomo ni upendo umeniponza!!najigonga nipendwe but wapi!!!Thanks God husband loves me,na anamwelewa mama yake,sijui ingekuwaje maana looh,ni mama mtata!
 
Nina mengi ya kusema ila kwakuwa umetoa limitation basi nakupa POLE
 
Kushika mimba ni baraka na inapendeza kuwashikirisha ndugu zako ili wakubebe katika maombi kwa kipindi chote cha miezi 9 kwani kunawakati utakuwa umejichokea huwezi hata kufanya maombi mwenyewe

Mwenzio naonaga aibu,hata mama simwambiagi moja kwa moja,najipelekaga pelekaga ili wanione basi, ok asante mpendwa,sema sitegemei tena, ningesema mapema miezi mitatu tu, lakini angeniambie ile mimba ya first born, hii ningebadilika ningemwambia mapema.
 
Nina mengi ya kusema ila kwakuwa umetoa limitation basi nakupa POLE

Vibaya hivyo,sema mwenzio nipate relief!!nawengine wajifunze, makosa yannatokea kurudia kosa ndio mbaya,we niambie tu ila kunitukania mume wangu,big no,nitukane mimi hapa,hahaaa!!
 
Mh pole mwenzangu hawa wa mama wakwe hatauwapendeje hawapendeki,me wa kwangu ananiweka roho juu km break ya fire....
 
naungana na mumeo kinachokuliza ni nini? maana kwa maneno ya mumeo ina maana hata yeye anajua tabia ya mama yake sasa cha kulia nini? una machozi mengi au unasafisha macho kwa kulia?

kwenye maisha ishi kutokana na mipangilio yako....binadamu mwingine kwa nini akusumbue kichwa?
 
Mwenzio naonaga aibu,hata mama simwambiagi moja kwa moja,najipelekaga pelekaga ili wanione basi, ok asante mpendwa,sema sitegemei tena, ningesema mapema miezi mitatu tu, lakini angeniambie ile mimba ya first born, hii ningebadilika ningemwambia mapema.

Pole sana na acha kulia ukijua kwamba yupo anayekupenda zaidi ya mama mkwe.Kila mtu huwa na aibu lakini kwa hili

unaweza kusema indirect hasa kwa mama au mama mkwe au hata wifi zako.Unachotakiwa unapopata miamba hasa

kipindi cha umri wa miezi 2 au 3 unaweza kumpigia mama au mama mkwe ukijifanya unamsalimia na kumweleza

akuombee mwili wako unajisikia u mzito.Kwa kufanya hvyo naamini wataweza kutambua kuwa mtoto au mke mwana yu

mjamzito.
 
naungana na mumeo kinachokuliza ni nini? maana kwa maneno ya mumeo ina maana hata yeye anajua tabia ya mama yake sasa cha kulia nini? una machozi mengi au unasafisha macho kwa kulia?

kwenye maisha ishi kutokana na mipangilio yako....binadamu mwingine kwa nini akusumbue kichwa?

Asante,niliumia tu maana sikutegemea hilo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom