Mama mkwe ananipiga mizinga balaa

Hatari ya kupiga sana mizinga, ukiwa na shida genuine watu wanakupotezea.
 
Mwambie wewe uwa unaprogram zako na zaidi ya kumi zishafail kwa ajili yake so muombe akuache kwa muda ujipange upya maana mwambie amekurudisha kama miaka miwili nyuma kimaendeleo... Ataona aibu mwenyewe.. akizidi mwambie utashindwa kutengeneza familia bora... pia mkumbushe kuwa mla huliwa
 
Kaka kwanza pole sana. Pili hakuna kitu kibaya kama kutoa kitu kwa Shingo upande....so kuwa mwanaume acha kudekeza ujinga. Utapatwa na msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo pia.
Mwambie mkweo hali ngumu.
 
Wakwe mmesha chokwa mtasusiwa watoto wenu kwa vibomu vyenu..lol
 
asikukere simple tu sina hali ngumu mama yaani iwe wimbo wako hadi shida ya myhimu we mwambie hali ngumu hadi atakapojirekebisha kuomva hela kwa shida maalumu
mkeo akileta mdomo mwambie kwakuwa hela ni rahisi kuwa nayo mpe wewe jikaushe
 
Nipe no za mkwe wako,nakuhakikishia namaliza tatizo.
 
Mnyime tu, ukimnyima mara 4 mfululizo atajiongeza. Mahali wanataka nyingi alafu bado mizinga. Mwambie hiyo ambayo ungempa uliitoa kwa mkupuo kama mahali
 

UNGEWEKA PICHA HAPA
KILA KITU KINGETATULIWA!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…