Wakwe wengi wasumbufu ndugu... Ata sio kua ana uwezo au hana. Nadhani mtu akioza binti yake anafikiri kajipatia suluhisho la kifedha... Sa ukikuta asiekua mstarabu ka huyo wa kwako ndo kero zaidi. Kama una uhusiano mzuri na mkeo ongea nae kuhusu swala hilo. Yeye ndo ataweza kusuluhisha bila wewe kuonekana vibaya. La sivyo utaumia tu kaka.Wandugu natumai mko poa,
Huyu mama mkwe wangu jama ananinyima raha hasahasa pale sim yake itapoita imekua kama fomla akinipigia ni mizinga ya hela tu,hana shida kivile anajiweza lakini anataka kula vyangu tu,nimemchoka.Nailea familia ya mke wangu kuliko yangu.nipeni ushauri nifanye nini ili mizinga ipungue?
Word mkuu.sorry to bring this up,nadhani nawe itabidi uapply hili kwenye kile kisa chako.
Watanzania tuna nidhamu, aibu, haya, heshima na hivi vinaturudisha nyumba. Kumwambia huyu mama ukweli vitakuweka huru maisha yako yote.Wakwe wengi wasumbufu ndugu... Ata sio kua ana uwezo au hana. Nadhani mtu akioza binti yake anafikiri kajipatia suluhisho la kifedha... Sa ukikuta asiekua mstarabu ka huyo wa kwako ndo kero zaidi. Kama una uhusiano mzuri na mkeo ongea nae kuhusu swala hilo. Yeye ndo ataweza kusuluhisha bila wewe kuonekana vibaya. La sivyo utaumia tu kaka.
Mpige JandoWandugu natumai mko poa,
Huyu mama mkwe wangu jama ananinyima raha hasahasa pale sim yake itapoita imekua kama fomla akinipigia ni mizinga ya hela tu,hana shida kivile anajiweza lakini anataka kula vyangu tu,nimemchoka.Nailea familia ya mke wangu kuliko yangu.nipeni ushauri nifanye nini ili mizinga ipungue?
Hii si haki kwani huyu kijana hakulelewa kwa tabu? Kuna watu wanapenda sana vya mteremko inakera sana.Kama ni mizunga vumilia hata yeye alilea kwa tabu usione vyaelea vimeundwa ndio nyie mliobanwa na makufuli mbona zama za kikwete ulikuwa hulalamiki bado mtakula mapera
Kula yeye au vipi?Wandugu natumai mko poa,
Huyu mama mkwe wangu jama ananinyima raha hasahasa pale simu yake itapoita imekuwa kama fomula akinipigia ni mizinga ya hela tu, hana shida kivile anajiweza lakini anataka kula vyangu tu, nimemchoka.Nailea familia ya mke wangu kuliko yangu.
Nipeni ushauri nifanye nini ili mizinga ipungue?
voice box ipoje uzuri wake..? inaweza kuwa suluhu ya matatizo yangu.Kuna mtu ananisumbuaga sana kwa vibomu, mazingira niliyoyaweka ni kuwa nikiwa kazini siwezi kupokea simu na voice box siku zote iko full. Nilikutana nae akaniambia nidelete voice box. Hajui kuwa yeye ndio chanzo chake.
Duh! yaani ampelekee mama mkwe hapana umeenda mbali.Mpige Jando
Umeshauri vizuri sanaItakuwa unaubaili kwa mkeo siku nyingine Fanya hivi akikuomba ela jaribu kumpa mtoto wake amtumie akikuomba tena mpe mtoto wake amtumie kuna kitu atajifunza lazima atapunguza alafu asipopunguza mchunie kibishi akikuuliza tena unamwambia mambo ajakaa sawa Hali ngumu. Ukimwambia mara mbili tatu atakukaushia kuna wamama wengine wanaomba ela bila watoto wao kujua Na wewe unajikuta unamtunia tu bila ata kumtaarifu mwanaye
ahahhaha, du, hiyo kali mkuuNipe namba ya Mkeo niongee nae.. Tatizo litaisha.