Wandugu natumai mko poa,
Huyu mama mkwe wangu jama ananinyima raha hasahasa pale sim yake itapoita imekua kama fomla akinipigia ni mizinga ya hela tu,hana shida kivile anajiweza lakini anataka kula vyangu tu,nimemchoka.Nailea familia ya mke wangu kuliko yangu.nipeni ushauri nifanye nini ili mizinga ipungue?
acha kabisa ni zaidi ya mama ake ila kwakuwa nilimpenda sikuona hasara yeyoteMizinga yake ya ujananii siipatii picha kama hadi ukubwani analiendeleza.
Na kama mnavyojua mtoto wa nyoka ni nyoka..maji hufwata mkondo. huyo mtoto wake nae vipi mkuu enzi za uchumbaa
Si afadhali ingekua mizinga ya hela ya mboga,kikubwa zaidi ana kimkweche chake flan basi utasikia,mwanangu sina hela ya mafuta nataka niende Kibaha nikaangalia shamba langu la mananasiMsome shida zake, kama anapiga kuomba pesa ya mboga, akipiga kausha unarudisha ile mida watu wameshakula na unamwambia ulikuwa busy.
Kama unauwezo mpe..ila kama unaona anakunyonya anza kwa kumwambia mambo ni mabaya..akiona hivyo siku 1 2 3 atajiongeza ila mtoto wake asisikie eeehacha kabisa ni zaidi ya mama ake ila kwakuwa nilimpenda sikuona hasara yeyote
Kuna mtu ananisumbuaga sana kwa vibomu, mazingira niliyoyaweka ni kuwa nikiwa kazini siwezi kupokea simu na voice box siku zote iko full. Nilikutana nae akaniambia nidelete voice box. Hajui kuwa yeye ndio chanzo chake.Si afadhali ingekua mizinga ya hela ya mboga,kikubwa zaidi ana kimkweche chake flan basi utasikia,mwanangu sina hela ya mafuta nataka niende Kibaha nikaangalia shamba langu la mananasi
Ataomba ya mlo unaofuataMsome shida zake, kama anapiga kuomba pesa ya mboga, akipiga kausha unarudisha ile mida watu wameshakula na unamwambia ulikuwa busy.
Unampa ya leo, kesho unamwambia mama lakini hii pesa nimekopa kwa mtu, hali yangu mbaya, kama ni mwelewa harudi. Akirudi unamwambia mama sina uwezo huo.Ataomba ya mlo unaofuata
sorry to bring this up,nadhani nawe itabidi uapply hili kwenye kile kisa chako.Aibu itabidi ikutoke, siku moja kaa nae umweleze jinsi hali ilivyo ngumu na vibomu vyake vinakuweka kwenye tension.