Atasababisha ugonvi usioisha kati ya mtu na mdogo ake atafute tu mwingine...
hata sio heshima mtu na mdogo ake wavue sketi kwa mwanaume mmoja?:A S 13:
Naah don't jump the broom with the little sister. Just smash it and quit it and tell everybody that you did it.
And if the mother is easy on the eye, go right ahead and smash her too.
It's called buy one get two free. It doesn't get better than that.
heshima ndio nini sasa apo? hivi on a serious note atakuwa amevunja sheria?
Haijavunjwa sheria, lakini utaoaje mdogo mtu wakati ushatembea na dada ake?
Naah don't jump the broom with the little sister. Just smash it and quit it and tell everybody that you did it.
And if the mother is easy on the eye, go right ahead and smash her too.
It's called buy one get two free. It doesn't get better than that.
Unajitahidi kutoa ushauri mzuri lakini jamaa kwa elimu yake sidhani kama hii issue alitakiwa ailete hapa kwa ajili ya ushauri, hata kwa elimu ya jadi isiyo rasmi inamkomaza mtu kufanya maamuziHuyo mama mkwe anapenda hela zako,hela unazotuma zinamchanganya,na iwapo utakubali kuoa mdogo mtu utafanya hiyo familia wasielewane kwani dada mtu(ex wako)atawasumbua,sikushauri uendleze ukaribu na hiyo familia,fungua ukurasa mpya mbali nao kuepuka usumbufu
Unajitahidi kutoa ushauri mzuri lakini jamaa kwa elimu yake sidhani kama hii issue alitakiwa ailete hapa kwa ajili ya ushauri, hata kwa elimu ya jadi isiyo rasmi inamkomaza mtu kufanya maamuzi
Tatizo hutoi hitimisho maana watu wanatiririka mpaka wadau tunahoji mbona jamaa harudi na kutoa hitimisho au bado hakuna ushauri uliokukugusa?Kwa hiyo mtu mwenye elimu kiasi fulani haitaji kuomba ushauri?Acha dhana potofu ndg yangu!
UwiiiiiNaah don't jump the broom with the little sister. Just smash it and quit it and tell everybody that you did it.
And if the mother is easy on the eye, go right ahead and smash her too.
It's called buy one get two free. It doesn't get better than that.
Kwani hayo mahusiano mliyavunja kila mmoja akajua hivyo au wewe tu uliamua kichwani kwako bila yeye kujua?
hujui cha kufanya au unatuzuga tu?mtafune basi na mama mkwe
Tatizo hutoi hitimisho maana watu wanatiririka mpaka wadau tunahoji mbona jamaa harudi na kutoa hitimisho au bado hakuna ushauri uliokukugusa?
Vizuri mkubwa na ndio maana ya ushauri kwani mwisho wa siku wewe ndio unafanya maamuziNimechukua ushauri "Akili za kuambiwa nichanganye na zangu"