Mama mkwe ananikonyeza

Mama mkwe ananikonyeza

Ungemkonyeza pia uone what could be her next response. inawezekana kakuzimia kama mshumaa, chezea mama ya uswazzi weye!!
 
Mmmh hizi thread zingine. Embu ngoja kwanza..

Yaani hizi threads ni balaa, mwingine leo pia kaanzisha uzi kakubali liwalo na liwe, anaenda "chinja" shemeji yake kisa anamtega, mwingine jana anauliza kwa nini shem wake wa zamani siku hizi anamuita kaka, anamaanisha nini?? Yaani ni vituko na burudani kwenda mbele!
 
ulijuaje kama anakukonyeza kama hukuwa interested? kwann umuabishe mama mzaa chema? lazma utakuwa na matatzo au utoto unakusumbua.

huenda yeye ndo ana matatizo au anajistukia tu kumbe hakuna lolote.
 
Kama ana makalio makubwa,
m betue
N.b.
Anatoka pande za wapi?
Mila nyingine huruhusu.
 
usithubutu hata kidogo kujilengesha kwa mam mkwe wako ni jambo la hatari sana
Na inavyoonekana una tabia za kuchonya chovya halahala ukamtongoza utajikuta unakosa mke hivi hivi maana huenda alikuwa anakupima kama wewe ni mchepukaji au la
Atamwambia mwanae kwamba umemtongoza na hivyo utajikuta unakosa vyote
 
Sasa unategemea hapa utapata alichokuwa anamaanisha? Hapa tutaotea tu. Aidha muulize muhusika au fanya uchunguzi wako binafsi kwake na kwako.
 
Ukute wewe unatamani akukonyeze mpaka akichezesha kope tu unadhani kakukonyeza
 
Sasa amekukonyeza tuu umekuja kuandika humu je akikuambia anataka akupe mzigo utazimia au utakula.
 
Alikuwa anakupa mtihani kama wewe ni mvumilivu wa kiwango kipi. Hakuwa na nia unayodhania wewe. Asingeshindwa kukuambia uende naye chemba ukamkune kisogoni kama alikuwa na nia hiyo. Ni mcheshi tu hana ubaya.
 
Mama mkwe wangu bado anaonekana kijana. Weekend tulienda kumtembelea tukiwa sebuleni pale mimi na yeye, mchumba alikuwa jikoni mama alikaa vibaya nikasogeza macho kuangalia pembeni na kujidai sioni chochote.

Tukaendelea kupiga story kumwangalia machoni akanikonyeza.

Yaani mimi sijaelewa alikuwa anamaanisha nini huyu mama.

Hayatuhusu. This is your private business. Peleke habari zako za udaku kule facebook. Tumechoka kusoma upuuzi.
 
Haya mambo mengine tunajazana ujinga tuu!

Mkwe anataka kupelekewa moto halafu mijitu humu inadai mtihani jamaa anapewa!!!

Tunajifanya hatujui kama dunia imevaa dengrizi au!!!!!

NB:Mtoa mada uamuzi ni wako kwa sababu wewe ndiye mmiliki wa dushe ila kama mwanaJf mwenzio nakushauri umpotezeee
 
Back
Top Bottom