Mama mkwe amenichosha

inawezekana kabisaa,na huyo wife angelikua ni in-law wa mume kwa mwanae !! Hii ndio taabu ya neno "mapenzi hayachagui umri" wanaume oeni size zenu
Mahala pake kabsaa sema hizo size zetu nazo kila siku gereji
 
Punguza welcome-face na kuwa mtu wa kupatikana tuuuu,ilitakiwa mkeo awe kashajua ila inavyoonesha mke yuko bize na kazi kuliko wewe,.

kupendwa hakuangalii,mi navyojua unaweza ukampenda mtu kwa sababu tu yeye ndo anapatikana mda ambao wewe unakua mpweke hivyo mama mkwe kashawishika tu uwepo wako tena pengine yuko lonely so unavyomuonesha upo upo anajua unamfurahia na hii ndo itasababisha aendelee kukusogeza,for sure ameshakunasa

Ebu kuwa bize na mkeo zaidi
 
Mkaushie tu, pia kuwa busy na majukumu ya kikazi , Chelewa kurudi nyumbani na ukirudi jipumzishe chumbani,

Fanya hivyo mpaka atakapo ondoka.
Nyongeza, akikaa kihasara hivyo sebuleni, mwambie mke wako (binti yake), kwa lugha ya staha, aende kumsetri mama yake vizuri. Kwa mfano, "mke wangu mama sebuleni kajisahau, kamsaidie"!
 
Binafs.. Mungu akusaidie uepuke io laana mana bnafs kilichonipata nahisi ndo mana sioi coz dahh.... Ni the same kdg n isue yako mkuu, ila nakusihi epuka io hali, mungu akusaidie ukaweze kuiepuka!
 
Nyongeza, akikaa kihasara hivyo sebuleni, mwambie mke wako (binti yake), kwa lugha ya staha, aende kumsetri mama yake vizuri. Kwa mfano, "mke wangu mama sebuleni kajisahau, kamsaidie"!
Shukrani mkuu ushauri wa maana kabisa
 
Binafs.. Mungu akusaidie uepuke io laana mana bnafs kilichonipata nahisi ndo mana sioi coz dahh.... Ni the same kdg n isue yako mkuu, ila nakusihi epuka io hali, mungu akusaidie ukaweze kuiepuka!
Dah pole sana na wewe mkuu sema usiache we rekebisha tu itakaa sawa
 
Soma vizuri mkuu utaona mkuu fikra zake tayari zinaruhusu tamaa kumuingia.
Hapo ndipo atahalibu kila kitu
Kisa kasema *bdo anadai* ndyo mana umehc anaingiwa n tamaa?... Kwan io c amewasilisha tu vile mtu jnc alivo kimuonekano mkuu?

Kucfia ni jambo la kawaida tu n ata ww unaweza kucfia... Kikubwa ni akili unaielekeza wapi....

thus tukirud kwa mkuu mtoa mada bnafs nlivomuelewa hajamaanisha vile unavofkr, jaribu kumsoma vzur mkuu utagundua io
 
Dah pole sana na wewe mkuu sema usiache we rekebisha tu itakaa sawa
Kwa hatua tatzo lilipofikia think already had a no point of return absolutely.... Japo bdo nazd kuomba mungu aendelee kunisaidia
 
Sisi wanaume tunahuruma sana, mkweo anahitaji kutolewa wadudu wanamuwasha,we bamiza 2.
 
Huyo Mama ana visa vyake visivyoeleweka...Kuwa makini mkuu anakutega..
Ikibidi muelezee ukweli kabisa ilimradi usimame kwenye ukweli...ONDOA HOFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…