Kuwa mjane siyo justification ya taratibu kupindwa ili kutoa favour...ila kwa mihemko ya kisiasa sishangai yakachukuliwa maamuzi ya kushangaza!Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mama mmoja ambaye ni mjane amefika mbele ya Rais kulilia haki yake, hakika kuna uwezekano hili suala linaenda na mtu
Hakika hiyo sio justification lakini katika uhalisia akina mama wengi wamekuwa wakipoteza sana haki zao kwa njia kama ya huyu mama, wakili ku play doubelroles upande wa mashtaka na upande wa uteteziKuwa mjane siyo justification ya taratibu kupindwa ili kutoa favour...ila kwa mihemko ya kisiasa sishangai yakachukuliwa maamuzi ya kushangaza!
Mipango tu hiyo wameipanga unajua leo ni siku gani?,,jiongeze sio kila kitu unakimbilia hukuKatika hali isiyokuwa ya kawaida Mama mmoja ambaye ni mjane amefika mbele ya Rais kulilia haki yake, hakika kuna uwezekano hili suala linaenda na mtu
Kesi ya msingi hasa ni mirathi, hili jambo limekuwa likifanyika sana kwa watu wa hali ya chini
Utaratibu upi zaidi ya kutetea haki za wanyonge, hii nchi watu wamedhulumiwa sana haki zao...Na vyombo vya kutoa haki vikihusika kwa asilimia kubwa .Kuwa mjane siyo justification ya taratibu kupindwa ili kutoa favour...ila kwa mihemko ya kisiasa sishangai yakachukuliwa maamuzi ya kushangaza!
Kuwa mjane siyo justification ya taratibu kupindwa ili kutoa favour...ila kwa mihemko ya kisiasa sishangai yakachukuliwa maamuzi ya kushangaza!
Number ya simu imechukuliwa.......mama kataja issue ya madawa ya kulevya.....that really trickled Mr.President's attention.....Uko sawa lakini kwa jinsi wajane wanavyonyanyasika, acha tu mtukufu apindishe angalau huyu Mjane apate haki zake.. Wanaumizwa sana hawa huko mahakamani..
Tukio hilo limeibeba shughuli ya leoTukio limewavutia wengi waliokuwepo hapo kwenye ukumbi + tuliokuwa tunaangalia mubashara via Azamtv.
Number ya simu imechukuliwa.......mama kataja issue ya madawa ya kulevya.....that really trickled Mr.President's attention.....
Raisi ameagiza kuanzia saizi apewe ulinzi wa polisi.!Duuh.. Isije kuwa hatari tuu kwake mwisho wa siku..