wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,550
- Thread starter
- #61
Nina matumaini kuwa watu wa vyombo vya usalama huwa wanasoma yanayoandikwa JF. Tunaomba hatua za haraka zichukuliwe kwa huyo anayejiita @wiseboy kwani inaonyesha huenda akasabisha madhara makubwa kwa huyu mama asiye na hatia. Nakumbuka juzi alikuja tena na thread nyingine ya umbeya kuhusu askari.
Tink big before you provide any comment,unakurupuka tu kuchangia hovyo,eti nilikuja na thread ya askari leo nimekuja na ya mchawi so what? tatizo liko wapi kwani? hii ni sehemu ya kupashana habari au wewe unataka kunichagulia habari za kuweka humu? ilikuuma nini wewe kuhusu askari aliyempiga kijana asiye na hatia? inakuuma nini kuweka thread ya huyu mchawi? kwanza jina lake halisi nimelificha,atakayemdhuru ni nani? au huwa mnawanga wote na huyo mama? wht a nonsense do u comment? aisee wewe si bure,you might be either originated from the accused police or that sorcerer.