Mama miwani, mchawi hatari anayetikisa Kahama

Mama miwani, mchawi hatari anayetikisa Kahama


tafuteni njia ya kukomesha uchawi wake
mradi msiue!!poleni uchawi upo!!
 
Daah! Akawa anainuka kuendelea kufanyaje???

nami pia hapo nimeshindwa kupaelewa[/QUOTE]

Yaonekana mwandishi alukuwa na jazda kwa maana hata mwandikl wake tu umekaa hasira hasiraa.....ripota aka tintin pungiza hasira utupashe habari.
 
Huyu jamaa dini yake itakuwa serikali aisee, vitabu vyote vya dini vinazungumzia uchawi na majini halafu wewe bado hauamini kama vitu ivyo vipo! ! We dhehebu lako ni serikali wewe

Niloge basi....
 
We wiseboy upo Msoma au Kahama? Mana nakuona unajikanyaga kanyaga.
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana na wewe ni mmoja wao! Kama vitabu vitakatifu vinatambua kuwa uchawi ulikuwepo toka enzi za Farao, wewe unakataa basi unaweza kuna kuwa Mungu hayupo! Si shangai kwani wengi wanaokataa kama wewe ni washirika wakubwa wa imani hiyo ya kishirikina.

Kule Sumbawanga walimu walikuwa wanakimbia shule fulani, kwani kila wakilala ndani ya nyumba zao asubuhi wanajikuta wamelala nje hadharani! Hii utasema walikuwa wanaumwa cerebral malaria?

walikuwa na matatizo yao tu hao!! Uchawi haupo, kama upo thibitisha!!
 
Baada ya kutoa thread ya police m.shenz ambapo niliitwa mbea na maneno mengi yakatolewa dhidi yangu,leo tena nimekuja na mpya,ni kawaida sana sisi waandishi kuitwa wambea,wakuda,wanafiki na n.k,hiyo ndo kazi yetu we don't care anyway,mama miwani (si jina lake halisi) ni mama hatari mkazi wa kijiji cha ilogi ktk wilaya ya kahama,neno ilogi ni la kisukuma likiwa na maana ya "mchawi"(nitaelezea siku nyingine kuhusu kijiji hiki) mama huyu ambaye nilipata kumfahamu tangu akiwa musoma,alifukuzwa hapa musoma kwa tuhuma za uchawi ndo akakimbilia ilogi ambako hata baada ya kufika huko tabia yake hakuiacha,ktk tukio moja la kifo cha utata cha mtoto wa miaka 8 ambaye alifariki ghafla na akawa anainuka na kuendelea kufa ambapo mimi ni shuhuda,mama huyu alihusishwa na tukio hilo kwa ushahidi dhahiri,ni mwanachama mwaminifu wa chama kinachojiona ndo mungu mtu wa Tz,kijiji kizima cha ilogi kina habari zake,na alihusishwa na mauaji ya mlinzi wake ambapo inasemekana amemficha msukule,ana jumba kubwa linalotisha hata mchana.

Nina matumaini kuwa watu wa vyombo vya usalama huwa wanasoma yanayoandikwa JF. Tunaomba hatua za haraka zichukuliwe kwa huyo anayejiita wiseboy kwani inaonyesha huenda akasabisha madhara makubwa kwa huyu mama asiye na hatia. Nakumbuka juzi alikuja tena na thread nyingine ya umbeya kuhusu askari.
 
Philipo magendo ni cha mtoto kwa huyo mama,ni huyo huyo mwenye gari nyeupe na kada wa ccm,hakuna asiyemjua ilogi yote,anajifanya ana hekima hana lolote mwanga mkubwa yule,siku ya mauaji ya utata ya mlinzi alitoa pesa kisiri akampa mkuu wa kituo cha police huku mimi na vijana wangu tukila chabo,hatari sana yule mama alifukuzwa msm

Duuuh! kila unavyoleta thread nazidi kuamini umezaliwa wa kiume kwa bahati mbaya... ulikuwa uwe demu hebu jaribu kuleta vitu vya msingi.
 
We wiseboy upo Msoma au Kahama? Mana nakuona unajikanyaga kanyaga.

Nipo ngara,mpakani mwa Rwanda na Tanzania,unataka ujue nilipo ili mnifuate kuning'oa meno? nina mazito ya kueleza humu yapo zaidi ya 200.
 
Last edited by a moderator:
We wiseboy upo Msoma au Kahama? Mana nakuona unajikanyaga kanyaga.

Nipo ngara,mpakani mwa Rwanda na Tanzania,unataka ujue nilipo ili mnifuate kuning'oa meno? nina mazito ya kueleza humu yapo zaidi ya 200.
 
Last edited by a moderator:
Kuna haja uwepo utaratibu wa kumpma mtu akili kabla hajajiunga humu jf..
 
Nipo ngara,mpakani mwa Rwanda na Tanzania,unataka ujue nilipo ili mnifuate kuning'oa meno? nina mazito ya kueleza humu yapo zaidi ya 200.
wiseboy asante kwa taarifa bwana mdogo. Nami nipo kahama mjini mtaa wa Nyahanga karibu na kwa diwani Mlekwa. Nitakutafuta.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom