Mama Mdogo: A Brand From Katavi

Mbona mama mdogo ana nywele za maiti na rangi ya kopo?
 
Namshukuru Mungu sana kwa kufika nyumbani salama, usafiri ulikuwa wa shida sana hata nikawa nimekata tamaa ya kushiriki sikukuu kubwa za x-mass na mwaka mpya na wazazi wangu ,sasa najiandaa na ibada ya mkesha wa x-mass katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Katarina wa Siena Mkuu-Rombo. Kama nilivyoanza haikuwa rahisi sana kuifikia siku hii muhimu nikiwa na familia yangu baada ya mihangaiko ya mwaka mzima, Je ww ilikuwaje?
 
Mbona mama mdogo ana nywele za maiti na rangi ya kopo?

Makubwa!!!! Mama Mdogo mbona yuko very natural, hatumii meno, kucha wala nywele za bandia!! Yeye anaoga kwa sabuni ilyotengenezwa kwa maweze, anajipaka lotion ya cocoa butter au mafuta ya nazi, siku nyingine anasuka ukiri wa roda. Kujipamba ni muhimu, anatumia lipstick kuenda na nguo aliyovaa, jipende upendwe!!!

View attachment 76819
 
Hahaaha, sasa kiuno kinapunga upepo jamani? Hamjamuelewa mtoa mada, hajamaanisha kuwa huyu ni mama mdogo, bali brand hii imeletwa nae. Ni kama tuseme gucci by gucci, ama dress by victoria secret
Ila nimependa creativity ya skirt. Siku hizi designers hawako creative hata kidogo
 
mhhhhh..haya bana
 


mwaka huu natka nioe, naoma msaada wako Mama Mdogo
 
mwaka huu natka nioe, naoma msaada wako Mama Mdogo


Kabla ya kukupa ushauri kuhusu wewe kuoa au kuto, naomba niwe na taatifa za kuanzia: Umri wako, Dini yako, Njia yako stable ya kujipatia kipato nk. Ushauri wa awali, kwa kuwa kuoa umeliweka kuwa ni lengo lako, pigania kulifikia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…