Mama mdaku alishangaa kila siku
mchungaji wa kanisa lao anaingia
nyumbani kwa jirani ambaye hana
mume, akawa anajiuliza anaenda
kufanya nini anakosa jibu. Mwisho
Uzalendo ukamshinda akaamua
kumuuliza jirani,
"Mwenzangu mbona kila siku
mchungaji anakuja kwako??? Vipi
anakuja kukuombea????" Akajibiwa,
"------ nini, mbona kwako kila
siku anakuja mwanajeshi, kuna
vita???? UMBEA TU.
mchungaji wa kanisa lao anaingia
nyumbani kwa jirani ambaye hana
mume, akawa anajiuliza anaenda
kufanya nini anakosa jibu. Mwisho
Uzalendo ukamshinda akaamua
kumuuliza jirani,
"Mwenzangu mbona kila siku
mchungaji anakuja kwako??? Vipi
anakuja kukuombea????" Akajibiwa,
"------ nini, mbona kwako kila
siku anakuja mwanajeshi, kuna
vita???? UMBEA TU.