sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,662
Sasa hivi shughuli za kuuhifadhi mwili wa Mandela zikiendelea, Programme Director amerudi kwenye podium na kutambulisha dignitaries ambao ndio wameingia. Lakini ilivyofika kwa Mama maria nyerere ukumbi mzima umeshangilia.
Huyu mama ni mama wa taifa,tanzania tunamchukulia poa but bado anaheshimika.
Huyu mama ni mama wa taifa,tanzania tunamchukulia poa but bado anaheshimika.
jakaya kikwete kamtaja tena watu wakashangilia, kapanda on podium keneth kaunda former zambian president, kamtaja mama maria three tyms na anasema ni mke wa rafiki yake amefurahi kusikia yupo kwenye maziko, in short mama maria nyerere ndio habari ya QUNU