Mama Maria Nyerere kashangiliwa sana alivyotambulishwa kwenye msiba wa mandela

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,662
Sasa hivi shughuli za kuuhifadhi mwili wa Mandela zikiendelea, Programme Director amerudi kwenye podium na kutambulisha dignitaries ambao ndio wameingia. Lakini ilivyofika kwa Mama maria nyerere ukumbi mzima umeshangilia.

Huyu mama ni mama wa taifa,tanzania tunamchukulia poa but bado anaheshimika.

jakaya kikwete kamtaja tena watu wakashangilia, kapanda on podium keneth kaunda former zambian president, kamtaja mama maria three tyms na anasema ni mke wa rafiki yake amefurahi kusikia yupo kwenye maziko, in short mama maria nyerere ndio habari ya QUNU
 
Kuna wafukunyungu jana waliandika kuwa hatohudhuria badala yake amewatuma mabinti zake sijui nani muongo
 
Anastahili heshima kutokana na kazi ya Mwalimu Nyerere. Nyerere na Mandela ni kielelezo cha viongozi wa Umma (wanasiasa) wanavyotakiwa wawe. Total commitment . sio ubinafsi!!!!
 
Sasa hivi shughuli za kuuhifadhi mwili wa Mandela zikiendelea, MC amerudi kwenye podium na kutambulisha dignitaries ambao ndio wameingia. Lakini ilivyofika kwa Mama maria nyerere ukumbi mzima umeshangilia.

Huyu mama ni mama wa taifa,tanzania tunamchukulia poa but bado anaheshimika.

Asanteeee!! umeshaingiza siku
 
Hata sisi tunafatilia kupitia tv.. Nampenda sana mama Maria Nyerere, ila ni kama ume'exaggerate mzee.. kushangiliwa sana?? Au kwako sana ina maana gani? Mi naona kashangiliwa kawaida na ni kutokana na jina la mwisho 'Nyerere'..

R.I.P NYERERE
R.I.P MANDELA
R.I.P NKHULUMA
 
Mkuu, katajwa Kikwete hajashangiliwa. Katajwa joyce banda hajashangiliwa.

Walioshangiliwa ni Mama maria nyerere, opra winfrey na pastor jesy jackson
 
hilo jina la mwisho ndio nani mkuu
 
Hata sisi tunafatilia kupitia tv.. Nampenda sana mama Maria Nyerere, ila ni kama ume'exaggerate mzee.. kushangiliwa sana?? Au kwako sana ina maana gani? Mi naona kashangiliwa kawaida na ni kutokana na jina la mwisho 'Nyerere'..

R.I.P NYERERE
R.I.P MANDELA
R.I.P NKHULUMA

kashangiliwa sana kuliko mtu yeyote pale ndo maana mleta mada kasema sana.
 
Mkuu, katajwa Kikwete hajashangiliwa. Katajwa joyce banda hajashangiliwa.

Walioshangiliwa ni Mama maria nyerere, opra winfrey na pastor jesy jackson

In that context, then ur right..
Maana uliposema 'sana' hukutoa mlinganisho mkuu..
Ila umekuwa very fair leo kwa hyo comparison yako..

Nashangaa Vicky Swai hajashangiliwa.!
 
Ni maccm tu ndio yanatenga huyu mama lakn sisi tunampenda. Hata hizo tetesi kutokwenda unakuta zilikuma ni za kweli maana hayakawii kumnyima hata nauli yakitaka atumie hela zake wakati anawakilisha taifa
 
kashangiliwa sana kuliko mtu yeyote pale ndo maana mleta mada kasema sana.

We na wee umetoka usingizini.. una uhakika na ulichoandika au assumption kutokana na ulivyomsoma mleta mada?
Fatilia tukio ndio u'criticize..
By the way tushaweka sawa na mleta mada!
 
Hata sisi tunafatilia kupitia tv.. Nampenda sana mama Maria Nyerere, ila ni kama ume'exaggerate mzee.. kushangiliwa sana?? Au kwako sana ina maana gani? Mi naona kashangiliwa kawaida na ni kutokana na jina la mwisho 'Nyerere'..

R.I.P NYERERE
R.I.P MANDELA
R.I.P NKHULUMA

Hapo mwisho umechemka. Ni NKRUMAH!
 
Hata sisi tunafatilia kupitia tv.. Nampenda sana mama Maria Nyerere, ila ni kama ume'exaggerate mzee.. kushangiliwa sana?? Au kwako sana ina maana gani? Mi naona kashangiliwa kawaida na ni kutokana na jina la mwisho 'Nyerere'..

R.I.P NYERERE
R.I.P MANDELA
R.I.P NKHULUMA

Samahani mkuu.......naomba nikumbushe Nkhuluma ni yupi tena.......?..ni wa huko huko Sauz.......?
 
Back
Top Bottom