Mama Maria Nyerere kashangiliwa sana alivyotambulishwa kwenye msiba wa mandela

Mbona jana ilitangazwa kuwa bibi hatoenda ila wameenda watoto wa mwalimu?

Na mimi nilisikia hivyo, sasa nashangaa kusikia Mama Maria yuko South. Bahati mbaya sikuona akitambulishwa, isije ikawa ni maneno ya kutungwa tu.

Tiba
 
Samahani mkuu.......naomba nikumbushe Nkhuluma ni yupi tena.......?..ni wa huko huko Sauz.......?
Preta una Visa wewe...Kama haujui alimaanis
a nini!...

Alimaanisha Nkrumah.....Kwame
Nkrumah....
 
Na mimi nilisikia hivyo, sasa nashangaa kusikia Mama Maria yuko South. Bahati mbaya sikuona akitambulishwa, isije ikawa ni maneno ya kutungwa tu.

Tiba
Na nyinyi mliliamini gazeti la Mwananchi?
 
Sasa hivi shughuli za kuuhifadhi mwili wa Mandela zikiendelea, MC amerudi kwenye podium na kutambulisha dignitaries ambao ndio wameingia. Lakini ilivyofika kwa Mama maria nyerere ukumbi mzima umeshangilia.

Huyu mama ni mama wa taifa,tanzania tunamchukulia poa but bado anaheshimika.

Unatakiwa kuwauliza wenzako akina FaizaFoxy, Ritz nk ambao kama ilivyo wewe binafsi hao wenzako hutumia muda

mwingi na bila sababu za msingi kumponda na kumdhihaki Mwl. Julius Kambarage nyerere kwa uzushi tu.

Heshima kubwa aliyoijenga Mwl ndani na nje ya nchi ndiyo inamuweka leo hii kikwete mbele ya kabisa kwa

wageni waalikwa
kule South Africa.................Je kikwete ataacha legacy gani kuienedeleza heshima ya Tanzania

katika anga za kimataifa?

Kushangiliwa kwa mama maria Nyerere kunaonesha ukweli wa ubora wa mwl bila mipaka ndani na nje ya Tanzania.
 
Inafurahisha sana Na TBC wamedsnganya kuwa Mh Rais Kikwete ndio pekee tu ataksyeongea jamani waandishi wetu be careful. Ongea na data wameongea wengi na yeye bado hajaongea. Kama walikuwa hawana programme approved ni vema wangekaa. Kimya .nimeamua kuangalia mojamoja kwa moja Madiba Chanel maana TBC anaingilia kila dakika na unakosa trend.
 
Ni mtu mkubwa sana, lkn hapewi heshima kama mama wa taifa hili.CCM oyeeee
Pumbafu! Mama maria kuwa mama wa Taifa hili na CCM kuna husiana nini! Acheni kuwa na akili fupi. Mama Maria Nyerere ni mama wa Taifa, siyo mama wa CCM.
 
Unatakiwa kuwauliza wenzako akina FaizaFoxy, Ritz nk ambao kama ilivyo wewe binafsi hao wenzako hutumia muda

mwingi na bila sababu za msingi kumponda na kumdhihaki Mwl. Julius Kambarage nyerere kwa uzushi tu.

Heshima kubwa aliyoijenga Mwl ndani na nje ya nchi ndiyo inamuweka leo hii kikwete mbele ya kabisa kwa

wageni waalikwa
kule South Africa.................Je kikwete ataacha legacy gani kuienedeleza heshima ya Tanzania

katika anga za kimataifa?

Kushangiliwa kwa mama maria Nyerere kunaonesha ukweli wa ubora wa mwl bila mipaka ndani na nje ya Tanzania.

Nyerere kama binadamu alikuwa na mapungufu yake, nyerere kama binadamu alikuwa na mazuri yake. Ritz au FaizaFoxy kama binadamu wana haki ya kuyazungumzia mapungufu ya nyerere na hata mazuri yake na bila kupangiwa. Hata hivyo wengi wanayazungumzia mazuri ya nyerere wakitokea wa kuzungumzia mapungufu (pasi kupotosha tuwaheshimu)
 
Last edited by a moderator:
Katika hali isiyo ya kawaida Raisi wetu Kikwete hakushangiliwa wala chama chake cha ccm kwenye mazishi ya Mandela.Sijui kwanini hali hii wakati ccm ni matokeo ya Tanu ambayo ilimsaidia Mandela
 
Alimaanisha Nkuruma jaman, mbona mnapenda kumkalia mtu kooni hivi

Ilichanganya kidogo mkuu.....si unajua tupo msibani na majina tunayoyasikia ni dizain hizo hizo.....ndio maana nikamix....
 
Back
Top Bottom