Mama Maria Nyerere kashangiliwa sana alivyotambulishwa kwenye msiba wa mandela

Na nyinyi mliliamini gazeti la Mwananchi?

Mkuu Balantanda, sina sababu kubwa ya kutokuliamini gazeti la mwananchi, lakini kuna member mmoja hapa amesema Mama Maria Nyerere ametajwa tu jina lakini sura yake haikuonyeshwa kwenye runinga hivyo inawezekana ikawa kweli kwamba hayupo South, ila wawakilishi wake.

Tiba
 
Lakini mbona wasauzi hawatupendi kwa wale wanaoishi kule

kwa tabia za akina masogange watatupenda kivipi mkuu?

tabia za akina mkapa kwenda kuwekeza kule baada ya kuiba huku inaudhi

tabia za akina Shimbo kuiba huku na kupeleka kule wakiiacha nchi ya hayati Baba wa taifa Mwl Julius kambarage Nyerere

taabani!!!!!!!inaudhi na kutia kichefuchefu!
 
Inafurahisha sana Na TBC wamedsnganya kuwa Mh Rais Kikwete ndio pekee tu ataksyeongea jamani waandishi wetu be careful. Ongea na data wameongea wengi na yeye bado hajaongea. Kama walikuwa hawana programme approved ni vema wangekaa. Kimya .nimeamua kuangalia mojamoja kwa moja Madiba Chanel maana TBC anaingilia kila dakika na unakosa trend.

Cnn wametisha sana katika haya maziko.
 
Mkuu Balantanda, sina sababu kubwa ya kutokuliamini gazeti la mwananchi, lakini kuna member mmoja hapa amesema Mama Maria Nyerere ametajwa tu jina lakini sura yake haikuonyeshwa kwenye runinga hivyo inawezekana ikawa kweli kwamba hayupo South, ila wawakilishi wake.

Tiba

Mkuu amini yupo kule bila mashaka, wengi wametajwa na hawajaoneshwa.
 
Wakuu kwanini tusijadili mada iliyoletwa tunajadili 'minor-typing-errors'??
Hebu tuwe timamu wakuu!
 
hata sisi tunafatilia kupitia tv.. Nampenda sana mama maria nyerere, ila ni kama ume'exaggerate mzee.. Kushangiliwa sana?? Au kwako sana ina maana gani? Mi naona kashangiliwa kawaida na ni kutokana na jina la mwisho 'nyerere'..

R.i.p nyerere
r.i.p mandela
r.i.p nkhuluma

"nkrumah"
 
Ni lini tabia hii ya kujadili majina na haiba za watu humu jamvini zitakoma

Majina ya watu ndiyo yanaweka story na mada, usilete mambo ya akina Ndugai kuzui mambo ya msingi kwa hoja dhaifu

Tunajadili Mandela kwanini? na je haiba na matendo yake ni unique, vipi majina mengine yenye haiba ya aina hiyo?

Je majina machafu against majina bora kwa mkutada huu hutayajadili?.............
 
Sasa hivi shughuli za kuuhifadhi mwili wa Mandela zikiendelea, MC amerudi kwenye podium na kutambulisha dignitaries ambao ndio wameingia. Lakini ilivyofika kwa Mama maria nyerere ukumbi mzima umeshangilia.

Huyu mama ni mama wa taifa,tanzania tunamchukulia poa but bado anaheshimika.

Leo umeandika kitu kinacho make sense, jitahidi uwe unaandika hivi kila siku ili tukuweke kwenye watu wenye upeo!
 
Joyce Banda anashangiliwa balaa
 
Mkuu Balantanda, sina sababu kubwa ya kutokuliamini gazeti la mwananchi, lakini kuna member mmoja hapa amesema Mama Maria Nyerere ametajwa tu jina lakini sura yake haikuonyeshwa kwenye runinga hivyo inawezekana ikawa kweli kwamba hayupo South, ila wawakilishi wake.

Tiba

Hata Rais JMK ametajwa lakini hajaoneshwa....Ingawa yupo Qunu...
 
Leo umeandika kitu kinacho make sense, jitahidi uwe unaandika hivi kila siku ili tukuweke kwenye watu wenye upeo!

Hahahaa mkuu unatokea taasisi gani inayoangalia wanavyoandika watu na kuwaweka katika category ya wenye upeo?
 
Unatakiwa kuwauliza wenzako akina FaizaFoxy, Ritz nk ambao kama ilivyo wewe binafsi hao wenzako hutumia muda

mwingi na bila sababu za msingi kumponda na kumdhihaki Mwl. Julius Kambarage nyerere kwa uzushi tu.

Heshima kubwa aliyoijenga Mwl ndani na nje ya nchi ndiyo inamuweka leo hii kikwete mbele ya kabisa kwa

wageni waalikwa
kule South Africa.................Je kikwete ataacha legacy gani kuienedeleza heshima ya Tanzania

katika anga za kimataifa?

Kushangiliwa kwa mama maria Nyerere kunaonesha ukweli wa ubora wa mwl bila mipaka ndani na nje ya Tanzania.

Simu yangu haina sehemu ya Ku Like!
 
Nyerere kama binadamu alikuwa na mapungufu yake, nyerere kama binadamu alikuwa na mazuri yake. Ritz au FaizaFoxy kama binadamu wana haki ya kuyazungumzia mapungufu ya nyerere na hata mazuri yake na bila kupangiwa. Hata hivyo wengi wanayazungumzia mazuri ya nyerere wakitokea wa kuzungumzia mapungufu (pasi kupotosha tuwaheshimu)

Hili nifundisho kubwa kwa wazushi na waropokaji. wenzenu wanafahamu nani ni nani na kwanini, nyinyi endeleeni na uzushi

wenu lakini hao wenye akili zao wamekupeni somo nanyi kwa fikra zenu endelezeni kujadili uzushi na kuibuwa mada za

kijinga kumponda mwalimu kwa ujinga na up.mbavu hapa jukwaani mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom